Imetokezea kupendana na msichana mmoja Umri wake unakaribia miaka 28 ,ni aina ya msichana unapokuwa nae utapenda umpeleke kukutana na wazazi au marafiki zako, lakini kuna vitu viwili vinanitatiza na kunipa tabu,kwanza nimekuja kumbabaini anavaa wigi anapoliondowa anaonekana sio yule msichana mwenye mvutio , pili hili ndilo tatizo linanikosesha usingizi, ni tumbo lake kubwa sana na hajawahi kupata mtoto anapotowa nguo tumbo linaondowa hamu yote nafanya nae mapenzi ile basi tu nifanye tu lina mapeto,nimefika mahali siwezi tena kuendelea nae halafu sitaki kumuonesha kuwa ni tumbo lake ndilo lililonifanya niachane nae nashindwa sijuwi nini nifanye sitaki kumtumilia na kumkimbia, ninachokuombeni hapa nisaidieni nifanye njia gani za kistarabu niachane nae bila ya kumumiza moyoni .
Nina wasi wasi na kauli zako!!
Kwa tumbo unalolisemea kiuhalisia halifichiki,means tangu siku ya kwanza unamuona na kuamua kumtokea uliliona,
Labda unishawishi kuwa ulijidai hulioni ili ummege na kumaliza kiu yako hapo sawa,
Na nina iman utakua ushamega zaidi ya mara moja ila cha kushangaza ulikua hujali unaendelea kula mzigo sasa ndio unaona tumbo!!
Ninachodhan hapa inawezekana umeyaona hayo baada ya kumaliza hamu zako,au umepata mpnz mpya na huyo humtaki tena ndio maana unaona kasoro zake,au marafiki zako wamemtoka kasoro hiyo na kukushangaa ww kuwa naye,
Unachofanya sasa ni kutafuta jastifikashen ili umwache,
Ingekua ww unagundua mtu aliyejidai anakupenda siku zote na kukutumia na sasa anajidai kutafuta namna ya kukuacha ungejisikiaje?
Cha kufanya kwa vile umeshaamua kumuumiza mwambie ukweli kwan hakuna namna ya kutomumiza ile hali humtaki tena!
Na siku ingine kabla hujamfanya mtu akupende hakikisha umeshajitambua unajua unachokitaka na una uhakika kwa kipo ndio umtokee!
Na ukumbuke kwenye mahusiano au maisha ya ya ndoa out look ya mtu hua haina umuhim mkubwa inner look km tabia na vitu vingine ambavyo havibadilishiki kwa mtu,
Lkn vitu km matumbo sjui mawigi au mwonekano km unampenda kwa pamoja mnaweza virekebishika na akawa vile utakavo.