Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.

1722797710821.jpeg

1722797758861.png
 
Wote ni CCM. Na the fact kwamba mashabiki wa simba na yanga hawawezi hata kuzigomea hizo timu kwa kutumiwa na CCM ni kielelezo kuwa CCM itatawala milele nchi hii.
 
Nimetafakari na kuona mqelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.


Chadema na ccm ni chama kimoja huo utofauti unauona ni kwasababu wewe upo mbali na hivyo vyama.
 
hapana kwani yanga na simba ni club moja la hasha vivyo hivyo CCM na Chadema si moja
 
Hata mimi nilijikuta nipo simba kwa sababu ya rangi tu.... Hiyo ilikuwa mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom