Nisaidieni Jinsi ya kupata marafiki

Nisaidieni Jinsi ya kupata marafiki

Nashangaa wote aliokua nao wakiwa watoto,waliosoma nsye ,Kwenye ukoo,anakoabudu,kazini nk kote huko hajawahi Pata Rafiki

Atakuwa na shida kubwa
Mkuu ina maana wote uliosoma nao wewe ni marafiki zako hadi leo? nafikiri mtu anapohitaji msaada kama unaweza kumsadia ni vyema ukafanya hivyo na kama huwezi ni vyema pia ukaa kimya, maana huwezi kujua mtu ni nini anapitia.
 
Nashangaa wote aliokua nao wakiwa watoto,waliosoma nsye ,Kwenye ukoo,anakoabudu,kazini nk kote huko hajawahi Pata Rafiki

Atakuwa na shida kubwa
anhaaa kuna wengine kipindi cha elimu walikitumia kusoma sio kupiga zoga na makundi makundi watu kama hawa huwaga na bond ndogo na dent zao wengine
 
Mimi pia napenda kuwa na marafiki Ila nawataka wale ninaowazidi kila kitu mfano ,rafiki asiwe anaijua JF ili nikitoka zangu hapa jamvini ni kumpanga anyone anaye rafiki kichwa sana .
Asiwe na hela kunizidi ili nikimkopa awe mpole sio rafiki anikope nianze kujifichaficha maana Mimi kulipa ni mpaka unishitaki kwa boss
 
walikuepo sasa nikapata changamoto ya kimaisha nikadelete wote, sasa nataka kupata wapya!nipe mbinu mkuu
Kumbe uliminya batani mwenyewe, watafute alafu matatizo ni yako, sherehe ni yetu mkuu usilisahau ilo maana huo sio mwisho wa kupata matatizo, bado matatizo yapo sana.
 
sema unaitaji washkaji sio marafiki, marafiki wa kweli ni wale uliokua nao pamoja uko kijijini mkicheza goroli na kuchunga mbuzi pamoja and the like. reconnect with them.!!

hawa wakukutana nao town keep distance for your mental and emotional health, ila kwa vile wabongo ni wabishi endelea unachokitafuta utakipata.
Kwa lugha nyingine unamkumbusha kuwa "mwana kulitafuta mwanakulipata"
 
Kumbe siko peke yangu kwenye changamoto hii....
 
Sorry kwa kuingilia thread
But nipo mbeya am 23 God-fearing pentecostal boy
Nataka niondoke home nitafute maisha
Naomba mtu wakunishika mkono anipokee mkoa wowote (sichagui kazi)
 
Kumbe uliminya batani mwenyewe, watafute alafu matatizo ni yako, sherehe ni yetu mkuu usilisahau ilo maana huo sio mwisho wa kupata matatizo, bado matatizo yapo sana.
sijaminya batani!nilidelete baada ya kuwa ktk matatizo na sikupata msaada wao!ila now natafuta tu wa kupiga story etc
 
Marafiki wanatokea tu katika cycle ya maisha, hawatafutwi.
 
Back
Top Bottom