Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

MNG

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
51
Reaction score
39
Baada ya kufuatilia kwa mda mrefu mjadala wa FOREX humu ndani na pamoja na kufanya utafiti sana na kujifunza,nimegundua yafuatayo
1-FOREX INALIPA
2-FOREX INAHITAJI SHULE HASWA
3-FOREX INAWEZA KUWA MKOMBOZI WA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
4-FOREX SIO KAMARI
5-FOREX HAITAKI MTU MWENYE PUPA
6-FOREX SIO SEHEMU YA KUPATA PESA ZA HARAKA
7-FOREX KWA KIASI KIKUBWA LAZMA UWE NA ANGALAU ELIMU YA SEKONDARI

Sasa kwa wale wazoefu naombeni namna ya kuweka pesa TICKMILL or FXTM,Hiyo attachment ni account yangu ya bonus kwa Templer,nimeifikisha hapo ndani ya wiki moja tu
 
Attachments

  • Screenshot_2018-12-21.jpeg
    Screenshot_2018-12-21.jpeg
    52.8 KB · Views: 166
Wanaotukana ni wavivu kufanya tafiti mkuu,lakini kiukweli hii kitu ni fursa nzuri kwa watanzania,ingawa hakuna anayelazimishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Sasa si unajua Wabongo tulivyo wavivu wa kusoma na kutafuta maarifa!
Mtu anasema Ni utapeli ukimuuliza kwa vipi? hana jibu anabaki anatukana tu!
 
Huyu mdau Daud1990 anaweza akakusaidia! ingawa Nyuzi za forex hazinaga mwisho mzuri sijui Kwanini!

Lazima watu watukanane haswaaa

Mi bado naendelea kujifua one yes
Shukran mkuu,ngoja nimtafute huyu mdau anipe muongozo kwenye kudeposit na kuwithdrawal.Endelea kukomaa,pitia pia youtube videos za jamaa mmoja wa Singapore anaitwa Adam Khoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kujifunza nami unaanzaje,mtaji unahitajika kiasi gani,na akaunti unaipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hapo unahitaji kuijua Forex angalau introduction yake ya kutosha then hayo mengine utakutana nayo tu. Kwa sasa ukienda Youtube tafuta forex kwa Kiswahili zipo video nzuri sana za kukufunza walau intro. na baada ya hapo inabidi ukae na mwalimu akufundishe na pia atakuwa mentor wako na utaweza tu
 
Baada ya kufuatilia kwa mda mrefu mjadala wa FOREX humu ndani na pamoja na kufanya utafiti sana na kujifunza,nimegundua yafuatayo
1-FOREX INALIPA
2-FOREX INAHITAJI SHULE HASWA
3-FOREX INAWEZA KUWA MKOMBOZI WA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
4-FOREX SIO KAMARI
5-FOREX HAITAKI MTU MWENYE PUPA
6-FOREX SIO SEHEMU YA KUPATA PESA ZA HARAKA
7-FOREX KWA KIASI KIKUBWA LAZMA UWE NA ANGALAU ELIMU YA SEKONDARI

Sasa kwa wale wazoefu naombeni namna ya kuweka pesa TICKMILL or FXTM,Hiyo attachment ni account yangu ya bonus kwa Templer,nimeifikisha hapo ndani ya wiki moja tu
Hongera kila la kher

JOIN FREE TELEGRAM GROUP >>>BRIGHT FOREX TANZANIA INSTITUTE
 
Baada ya kufuatilia kwa mda mrefu mjadala wa FOREX humu ndani na pamoja na kufanya utafiti sana na kujifunza,nimegundua yafuatayo
1-FOREX INALIPA
2-FOREX INAHITAJI SHULE HASWA
3-FOREX INAWEZA KUWA MKOMBOZI WA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
4-FOREX SIO KAMARI
5-FOREX HAITAKI MTU MWENYE PUPA
6-FOREX SIO SEHEMU YA KUPATA PESA ZA HARAKA
7-FOREX KWA KIASI KIKUBWA LAZMA UWE NA ANGALAU ELIMU YA SEKONDARI

Sasa kwa wale wazoefu naombeni namna ya kuweka pesa TICKMILL or FXTM,Hiyo attachment ni account yangu ya bonus kwa Templer,nimeifikisha hapo ndani ya wiki moja tu
Bora pesa yako uvute bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom