Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

Nisaidieni jinsi ya kuweka pesa TICKMILL

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Fanya hiv..fungua skrill acc. Deposit hela yko kwa templer kutumia mpesa zen ihamishie skrill alaf itupie kwa tickmill....
Warning usi trade kwa templer mi hata simuamin kaniliza huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu,ngoja nijaribu hii njia yako ya kudeposit.Templer tunampiga kibishi hivyohivyo.Alikufanyaje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umefanikiwa? Kama bado kuna option ya kudeposit kupitia mobile kama templer sema tickmil unatumiwa email yenye maelekezo ya kudeposit. Maelezo ninayo Sema nashindwa kuyapost hapa, kama utahitaji nipe email yako pm nikutumie.
 
Mkuu umefanikiwa? Kama bado kuna option ya kudeposit kupitia mobile kama templer sema tickmil unatumiwa email yenye maelekezo ya kudeposit. Maelezo ninayo Sema nashindwa kuyapost hapa, kama utahitaji nipe email yako pm nikutumie.
screenshot uweke hapa
 
screenshot uweke hapa
Tickmill
Inbox
C
Christophoros Panagiotou | Tickmill
to me
Jul 26, 2018
Details
Hi

It was a pleasure talking to you earlier.

To make a mobile payment deposit – mpesa – for example please follow below steps:

  1. Send email to funding@tickmill.com stating the following:
  • Your trading account number with Tickmill
  • The amount you want to deposit in your local currency – Tanzanian Shilling
  • The mobile phone number you will use to deposit ( must match the number you provided upon registration with Tickmill )

  1. Then we will reply with a link. You click on that link and follow few steps to complete a deposit .

Kind Regards,
Christoforos Panayiotou
Africa Regional Manager | Tickmill Ltd



E chris@tickmill.com
W www.tickmill.com
Account Types | Trading Platforms | FAQ |Trader of the Month

We want traders to succeed
FCA UK & FSA SC Regulated | Spreads from 0.0 pips | Execution speed 0.1 sec. (average) | Leverage 1:500 | All strategies allowed | Fast withdrawals & support | 80 trading instruments

United Kingdom
1 Fore Street, London EC2Y 9DT
United Kingdom
Tel.: +44 203 608 2100
Email:support@tickmill.co.uk
Seychelles
3, F28-F29 Eden Plaza, Eden Island, Mahe, Seychelles
Tel.: +248 434 7072
Email:support@tickmill.com


Tickmill is a trading name of Tmill UK Limited (a company registered in England and Wales under number 09592225). Principal and Registered Office: 1 Fore Street, London EC2Y 9DT. Authorised and Regulated by the UK Financial Conduct Authority. FCA Register Number: 717270. Tickmill is also the trading name of Tickmill Ltd Seychelles, regulated as a Securities Dealer by the Financial Services Authority of Seychelles with license number (SD 008) and the Principal office at: Trop-X Securities Exchange Building, 3 F28-F29 Eden Plaza, Eden Island, Mahe, Republic of Seychelles.
Disclaimer: The information contained in this email and any attachments (the 'Email') is intended for one or more specific individuals or entities, and may be confidential, proprietary, or otherwise protected by law. If you are not the intended recipient, please notify the sender immediately, delete this Email and do not disclose, distribute, or copy it to any third party or otherwise use this Email. Emails are not secure or error free and can contain viruses or may be delayed, and the sender is not liable for any of these occurrences. The sender reserves the right to monitor, record transmission and retain Emails.
Risk Warning: Trading foreign exchange on margin carries a high level of risk and may not be suitable for everybody. The high degree of leverage can work against you as well as for you. Before deciding to trade foreign exchange, you should carefully consider your trading objectives, level of experience and risk appetite. The possibility exists that you could sustain a loss in excess of your initial deposit and therefore you should not deposit money that you cannot afford to lose. You should be aware of all the risks associated with foreign exchange trading and seek advice from an independent adviser if you have any doubts. Please refer to Tickmill's full "Risk Disclosure"

 
Back
Top Bottom