Nisaidieni juu ya hili tafadhali

Nisaidieni juu ya hili tafadhali

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
39
Habari jf......
Mimi ni fundi wa sofa,sina ofisi permanent huwa nafanya kazi sehemu napopata kazi ila tangu mwezi wa tisa mwaka jana (2013) kuna shemeji yangu alihitaji nimfanyie kazi zake katika workshop yake na tulielewana malupi ni kwa kazi yaani kazi ikiisha nami nachukua changu (pesa)

Mbali na hapo nami nilikua nafanya kazi zangu binafsi katika offic zake.

sasa hivi karibuni nilitengeneza sofa za mteja wangu wa nnje ya ofisi tatizo likaja pale bosi alipogundua,alinipigia simu za jazba kuonesha hasira zake hivyo mimi nikaamua kutokwenda kumalizia kaziyake kwa kuogopa vitisho vyake.

Baada ya hapo kaanzakutangaza mimi nimemuibia kazi pia kuna sifa yangu nilitengeneza nikawa naiuza ofisini kwake nayo kaizuia nisiichukue isitoshe kunakochi ya mteja ilikuja pale kwaajili ya repea,mteja alivyogundua kuwa hatuko sawa ofisini kahairisha kaziyake bado bosi analeta matata kumrudishia kochi yake.

Naomba msaada jamani nifanyaje?
 
Sasa na wewe kama mshaelewana na mtu kwa nini unaleta ujanja ujanja??!! Kama uliona huridhiki si bora ungemwambia tu!! Anyway nenda kaongee naye kiutu uzima muombe yaishe, mwambie sababu ya kufanya vile ulikuwa na matatizo hivyo hukuona haja ya kumsumbua kudai fedha zaidi. Na kama mkielewana ongea naye kuhusu malipo ili uridhike maana inaonekana jamaa hataki ujanja ujanja.
 
Maelewano yako hivi....nafanya kazi ikiisha ananilipa pia nawezafanya kazi zingine (sio zake) za nnje ilimradi kazi zake ziendelee na ikawa nafanya hivyo ila ajabu kanibadilikia kwa sasa.
 
Maelewano yako hivi....nafanya kazi ikiisha ananilipa pia nawezafanya kazi zingine (sio zake) za nnje ilimradi kazi zake ziendelee na ikawa nafanya hivyo ila ajabu kanibadilikia kwa sasa.
Sasa kwa nini unaogopa kwenda kuzungumza naye???!!!! Nyoosha maelezo bana, kama kuna mahali umeharibu sema vizuri ili usaidiwe.
 
nani anamiliki ujuzi wako? mbona unakuwa muoga hivyo? yaani technology yako halafu umuogope boss na akati unaweza kuwa solo fundi,labda kuna kingine ambacho hatukijui hapo.
 
Zaidi nachokikwepa ni meseji anazo endelea kunitumia (vitisho) na nikicheki nahisi anaweza kutumia pesa zake kunikomoa kwani naamini kaumia sana.
Hizo kochi anazozizuia anasema hadi apewe elfu 50 ndipo zitoke kwasababu zimekaa ofisini kwake.
 
Back
Top Bottom