makua
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 208
- 39
Habari jf......
Mimi ni fundi wa sofa,sina ofisi permanent huwa nafanya kazi sehemu napopata kazi ila tangu mwezi wa tisa mwaka jana (2013) kuna shemeji yangu alihitaji nimfanyie kazi zake katika workshop yake na tulielewana malupi ni kwa kazi yaani kazi ikiisha nami nachukua changu (pesa)
Mbali na hapo nami nilikua nafanya kazi zangu binafsi katika offic zake.
sasa hivi karibuni nilitengeneza sofa za mteja wangu wa nnje ya ofisi tatizo likaja pale bosi alipogundua,alinipigia simu za jazba kuonesha hasira zake hivyo mimi nikaamua kutokwenda kumalizia kaziyake kwa kuogopa vitisho vyake.
Baada ya hapo kaanzakutangaza mimi nimemuibia kazi pia kuna sifa yangu nilitengeneza nikawa naiuza ofisini kwake nayo kaizuia nisiichukue isitoshe kunakochi ya mteja ilikuja pale kwaajili ya repea,mteja alivyogundua kuwa hatuko sawa ofisini kahairisha kaziyake bado bosi analeta matata kumrudishia kochi yake.
Naomba msaada jamani nifanyaje?