- Thread starter
- #21
Asante kwa maoni🙏Fanya editing ya uzi wako mkuu ama lah fungua hata uzi mwingine uelezee elimu yako, kazi unazoweza kufanya, sehemu uliyopo, namba ya simu (kama inawezekana).
Ili wanaoweza kukusaidia iwe rahisi kukupata ama lah pa kuanzia kukusaidia.