Nisaidieni kugundua makosa ya hii floor plan

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ramani22.JPG
Nyumba nzuri.JPG

Hapo katikati pana uwazi wenye upana wa 3m hadi 3m
 
Wakati wenzako wanasoma spacing kwenye usanifu majengo we uliamua kusoma nini haya sasa wacha wakusaidie bure

Kuna mtu ananichorea ndio naikagua
 
Wakati wenzako wanasoma spacing kwenye usanifu majengo we uliamua kusoma nini haya sasa wacha wakusaidie bure

Kwanini lakini mnaAbuse taaluma za watu kiasi hiki? Dah! Tatizo ni Njaa? Ubinafsi au Nini? Kwahiyo hapo umeleta ili upate Msaada wa Bure, upate Mtelezo wenyewe mnaita [emoji1787][emoji1787]
Haya bana kila la kheri!View attachment 2488280
Hii floor plan nmechorewa, hapo kuna nyumba tatu zinazojitegemea. Kuna hii ya chini (ina sitting na vyumba viwili), kuna ya juu ipo nje ina vyumba viwili vya kulala. Kuna ya kushoto ni hapo panakua jiko na dinning. Kuhusu milango kuwa mingi nilimwomba mchoraji aniwekee hivyo kuna nyumba moja niliwahi kuingia ina mtindo huo lengo langu nilitaka kutenganisha choo na chumba cha kulala, lakini pia kupata uwazi wa kuacha viatu. Embu nipeni ushauri.
 
View attachment 2488260

Hapo katikati pana uwazi wenye upana wa 2m hadi 3m

Kama anakuchorea tu freely sawa lakini kama unamlipa nakushauri uachane nae. Ramani ina makosa mengi,kuna hiko choo cha kati kati hakitokuwa na chemba yake, lakini pia madirisha kuwekwa kwenye corrido ambapo watu wanapita sio sawa, kuna milango ambayo haina ulazima kuwepo
 
Mimi ndio nimemwambia iwe design hivyo boss, hata hiyo milango kwenye vyumba nahitaji kutenganisha chumba na bathroom, na nikiingia chumbani nisiingie na viatu. Vibaki nje.
Labda kwenye choo kile cha chumba na hayo madirisha ungenishauri ili nijue cha kumwambia arekebishe.
 
Room 1 ina madirisha mawili tayari, hilo dirisha la tatu la kwenye corido liondoe, room 2 pia hilo la kwenye corido liondoe kisha sogeza hako kaukuta kadogo ili upate nafasi ya kuweka dirisha la pili (hapo penye blue)
Mlango wa kutokea nyuma usogeze huku mbele ili upate nafasi ya varanda
Sehemu nilizochora mistari ya orange maana yake uzibe huo uwazi wa dirisha/mlango
20230120_211512.jpg
 
Mimi ndio nimemwambia iwe design hivyo boss, hata hiyo milango kwenye vyumba nahitaji kutenganisha chumba na bathroom, na nikiingia chumbani nisiingie na viatu. Vibaki nje.
Labda kwenye choo kile cha chumba na hayo madirisha ungenishauri ili nijue cha kumwambia arekebishe.
Designer amejitahid sana, yuko vzr. Hizi ni nyumba za bei mbaya, raman ya kishua kbs, Kwa hapa bongo utazion masaki tu. Jenga tu dada angu hain marekebisho iyo
 
Iyo miduara umenikumbusha lecture mmoja pale ardhi university [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hapo umekesha archplaza siku mbili, alafu bwege anatumia kalamu ya wino ili usiweze kufuta na kurekebisha. Anataka uanze upya!
 
Mimi ndio nimemwambia iwe design hivyo boss, hata hiyo milango kwenye vyumba nahitaji kutenganisha chumba na bathroom, na nikiingia chumbani nisiingie na viatu. Vibaki nje.
Labda kwenye choo kile cha chumba na hayo madirisha ungenishauri ili nijue cha kumwambia arekebishe.
Umeomba marekebisho, watu wanakupa marekebisho, unasema wewe ndio umetaka idizainiwe hivyo. Nashindwa kuelewa unataka nini hasa!
 
Ni nyumba ya nini hii? Ya kupangisha au ya kuishi familia moja? Mbona kama ramani haijakaa sawa!
 
Back
Top Bottom