Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,116
- 2,616
Mkuu mlipe Mtu akufanyie kazi ya Uhakika! Sidhani kama huyo aliyechora Umemlipa AU Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kudesign na huna uwezo huo AU Unajifunza kudesignMimi ndio nimemwambia iwe design hivyo boss, hata hiyo milango kwenye vyumba nahitaji kutenganisha chumba na bathroom, na nikiingia chumbani nisiingie na viatu. Vibaki nje.
Labda kwenye choo kile cha chumba na hayo madirisha ungenishauri ili nijue cha kumwambia arekebishe.