Mkuu mlipe Mtu akufanyie kazi ya Uhakika! Sidhani kama huyo aliyechora Umemlipa AU Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kudesign na huna uwezo huo AU Unajifunza kudesignMimi ndio nimemwambia iwe design hivyo boss, hata hiyo milango kwenye vyumba nahitaji kutenganisha chumba na bathroom, na nikiingia chumbani nisiingie na viatu. Vibaki nje.
Labda kwenye choo kile cha chumba na hayo madirisha ungenishauri ili nijue cha kumwambia arekebishe.
Boss kwann usitoe maelekezo ili tumpatie yeye mwenyewe arekebishe kuliko kumgombeza mtu kesha tumia muda wake mwingi hapo. Tupe ushauri ili tumwelekeze.Mkuu mlipe Mtu akufanyie kazi ya Uhakika!
Sidhani kama huyo aliyechora Umemlipa AU Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kudesign na huna uwezo huo AU Unajifunza kudesign
😂😂😂Kwanini lakini mnaAbuse taaluma za watu kiasi hiki? Dah! Tatizo ni Njaa? Ubinafsi au Nini? Kwahiyo hapo umeleta ili upate Msaada wa Bure, upate Mtelezo wenyewe mnaita [emoji1787][emoji1787]
Haya bana kila la kheri!View attachment 2488280
😂😂Mm sio fundi lkn hapana
- Toilet ina sebule
- Bedrooms zina milango miwili imeongozana
- Bedrooms zina madirisha kwenye corridoor
- Kiujumla inahitaji overhaul
Madirisha ya ndani kwa ndani!!? Utayaweka aluminium au mapazia matupu
Milango mingi Kama movie flani hivi ya jack chan.
Generally ni mbaya tafuta nyingine na usipende vitu vya bure
Generally ni mbaya tafuta nyingine na usipende vitu vya bure
Generally ni mbaya tafuta nyingine na usipende vitu vya bure
Umeielewa bossGenerally ni mbaya tafuta nyingine na usipende vitu vya bure
Boss umeyaona marekebisho aliyofanyaMilango mingi Kama movie flani hivi ya jack chan.
Boss maoni yakoMadirisha ya ndani kwa ndani!!? Utayaweka aluminium au mapazia matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss ichunguze tena😂😂Mm sio fundi lkn hapana
Hata mwanafunzi hawezi kukuchorea kitu kama hiki.Kuna mtu ananichorea ndio naikagua
very sorry to say this "hili ni boma la kimasai lililochangamka"
Sasa boss toa ushauri ili arekebishe, hiyo ndio design naipenda ndio maana nimeleta hapa. Wadau mtoe mawazo ili irekebishwe ila design isibadirike.very sorry to say this "hili ni boma la kimasai lililochangamka"
Boss kama unaushauri utoe. Nikupe unichoree?Hata mwanafunzi hawezi kukuchorea kitu kama hiki.
Boss ahsante sana kwa ushauri mzuriMtoa mada ulivyompa kazi na kukuelezea mahitaji yako ilibid architect wako akushauri kwanza Kama unachokitaka kinamantiki kiufundi zaidi ama la .
Inaweza kuwa uliona sehemu dirisha lipo koridoni ukalipenda Ila kiufundi haipo sawa na inawezekana nyumba uliyoina ilikua na makosa mengi ya kiufundi Ila kwa jicho la kawaida vigumu kuona.
NB:
Fanya consultation na architect wako