ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,017
Acha basi...ketrax mbona ipo...ila Jina la lkitaalamu inaitwa levamisole...itafute utaipataIlikuwa inaitwa ketrax. ,sijaiona tena
Zentel inawezekana ikawa brand ila generic ni AlbendazoleMkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
Je, ukichukua punje kama nne za kitunguu swaumu unatafuta uwezekano wa kupona upo....?Pili. Chukua vitunguu swaum mashina2, majani ya mapera kama 20, na malimao kama 3 kamua malimao halafu saga kwenye blender hii naiita fagiafagia kama u atyphod, amoeba minyoo yote kushney itumia maratatu kwa siku kwa siku5
Sijasema punje nne bali shinaJe, ukichukua punje kama nne za kitunguu swaumu unatafuta uwezekano wa kupona upo....?
Zantel?,= praziquatel?Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne