Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #241
Anataka tunda hana lolotempe awezi kuondoka nacho, sasa nimeelewa kwanini jamaa anakuganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka tunda hana lolotempe awezi kuondoka nacho, sasa nimeelewa kwanini jamaa anakuganda.
Sijampa ata busuIli nikupe majibu ya uhakika labda unipe na mimi ulichompa ndo nitakueleza kwanini hawezi kukuacha
Nan ataoa msichana maziwa yapo kama Socks ilowekewa MchangaKuna huyo. Demu alinambia hataki kupangiwa masharti ya kuwahi nyumbani kwo sahivi anaunga degree🤣she 21 anasema Ataolewa 2031 akiwa 28
Huu ni upotoshaji, upuuze 😂
Acha kaka wawatu ale matunda ya upambanaji wake
Napaswa kuwa Binti ila sio Binti wa kike😅
DuhKwasababu wewe ni binti wa kike na sio wakiume
DuhKumbuka ulicho mfanyia mtoto wa mwanamke mwenzako mpaka asikii haoni
😅😅NtalishughulikiaEbu mpe mzigo kwanza tuone ana mbio au la!
Bado ujana wangu hujaishaUmemalz option zako sasa unatak clarification urudi kwa jamaa uliemtosa enzi za ujana wako
Ndiyo wapo Mabint wa kiumeKuna binti wa kiume?
Baadae uanze kusumbua waganga hupati mumeHabari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto
Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Sawa karibuNilikuwa nasikiliza nyimbo ya q-chief nitarudi tena, itakuwa hii mada ina uhusiano na nyimbo
Aiseee😅Baadae uanze kusumbua waganga hupati mume
Tulia hvyo hvyo , Km zimesonga , ulipaswa ufanye maamuz mapema , 4years unatongozw then unasema wew n kijn , kam ni 24+above kwisha ujan wakoBado ujana wangu hujaisha
Bado kijana 😂Nina 30 saiziTulia hvyo hvyo , Km zimesonga , ulipaswa ufanye maamuz mapema , 4years unatongozw then unasema wew n kijn , kam ni 24+above kwisha ujan wako