mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
wadau polen na matatzo ya hapa na pale personal,family au official..ndo maisha!
kuna mtu apa kapata kazi kwenye taasisi ya serikali mshahara kias cha 1,102,000 gross anahitaji kujua baada ya makato yote atabaki na net kias gani...nijuzeni
pia anafanya kazi sekta binafs kwa mshahara wa 1,396,000 gross anajishauri aende huko serikalini au abaki...nimejaribu kumshaur aende serikalini bado anajishauri..hajaamua..nipeni mawazo yenu nitamprintia..

Kama alikwambia ni mshahara pekee aliuwa anakudanyaakapata kazi Serikalini tena Wizara ya Fedha. Mshahara wake ni Gross 438,000 lakini anadai kutokana na mshahara huo ndiyo
uliyomuwezesha kujenga nyumba. na magari kadhaa.
Mimi sijui Calculation za Serikalini kwasababu kuna jamaa yangu tulikuwa tunafanya naye sector binafsi alikuwa anapata Gross ya 1,230,200 baadaye akapata kazi Serikalini tena Wizara ya Fedha. Mshahara wake ni Gross 438,000 lakini anadai kutokana na mshahara huo ndiyo uliyomuwezesha kujenga nyumba na magari kadhaa. Hivyo nikipata namna wanavyo calculate nitakujuza.
Gross TShs 1,102,000
Social Security (110,200)
Taxable 991,800
Tax payable (991,800 -720,000)x30% + 112,500= 194,040
Net Pay 1,102,000 - 110,200 - 194,040 =797,760 kabla ya makato ya bima ya afya
BASIC SALARY = 771,400.00
HOUSING ALLOWANCE = 115,710.00
OTHER ALLOWANCES = 214,890.00
GROSS PAY = 1,102,000.00
LESS: NSSF = 110,200.00
HOUSING ALLOW. = 115,710.00
TAXABLE PAY = 876,090.00
TAX DUE (876,090 - 720,000)*30%+112,500 = 159,327.00
TOTAL DEDUCTIONS (NSSF+TAX DUE) = 269,527.00
NET PAY/TAKE HOME = 832,473.00
Hapa ndugu kuna hicho kitu kinaitwa housing allowance (ambayo huwa ni 15% ya Basic Salary) huwa haikatwi kodi. Hivyo huyu jamaa akipa hiyo kwa Serikali ni bora kuliko ile nyingine kwa Private Sector. Bila kuficha, Serikalini kuna fursa nyingi kuliko huko kwingine. Hapa utaona kuwa tofauti ya mshahara itakuwa ndogo sana, hivyo jamaa atakuwa na muda wa kutosha Serikalini kuliko private sector (kule mjomba wanakukamua mpaka mwisho).
Wakuu nilikuwa nimeweka kwenye jedwali lakini bahati mbaya limegoma.