Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Mradi ujumbe umemfikia aliyelengwa...Sio Kenya pekee yake...Kuna inchi nyingi hutumia zaidi ya lugha moja as official languages..eg Canada,Rwanda etc
 
Wewe kama sio chizi basi ni mwenda wazimu, Kenya lugha ya taifa ni kiswahili, na kimetajwa katika katiba yao, wananchi wengi wa Kenya hasa vijijini hawajui kabisa kiingereza, nenda pwani kwa wadigo, waduruma, wakamba, waswahili, au nenda kaskazini kwa Pokot na turkanas, lakusikitisha hata rais wao anapohutubia taifa anatumia English, ukweli ni kwamba Kenya inamatabaka ya watu, tabaka la matajiri na walioelimika ambao wengi wapo mijini hawakipendi kiswahili, na tabaka la watu masikini wasio na elimu ambao ndiyo wengi wanaoishi vijijini na slums za mijini, hawa hutumia kiswahili na serikali haiwajali sana hawa, kwahiyo wanapotaka kura, huenda vijijini na kwenye slums na hutumia kiswahili, wanapokuwa katika ofisi kubwakubwa hutumia English

Uchizi unaanzia kwako ambaye hutaki elewa Kenya most of us we are speaking English wenye kiswahili ni wachache sana na kwa hiyo kaa kando wewe kama huewi
 
Uchizi unaanzia kwako ambaye hutaki elewa Kenya most of us we are speaking English wenye kiswahili ni wachache sana na kwa hiyo kaa kando wewe kama huewi
Mjinga wewe, utasemaji watu wachache ndiyo wanaofahamu kuzungumza lugha ya taifa, sasa kuna maana gani ya kuitaja kuwa ndiyo lugha ya taifa wakati wananchi wengi hawaijui, kwani mlilazimishwa kuifanya iwe lugha ya taifa lenu?, tatizo wakenya wengi uwezo wenu wa kufuatilia na kujua mambo kwa undani ni mdogo sana
 
Mradi ujumbe umemfikia aliyelengwa...Sio Kenya pekee yake...Kuna inchi nyingi hutumia zaidi ya lugha moja as official languages..eg Canada,Rwanda etc
Sio kweli, nchi inaweza kuwa na lugha nyingi, lakini lazima kuwe na lugha moja ambayo ndiyo inayotambulika kama lugha ya taifa na lazima shughuli zote za serikali hasa za ndani ya nchi lazima zitumie lugha hiyo, na lazima itambulike kikatiba

Nchi ya Rwanda, lugha ya taifa la Rwanda ni kinyarwanda, shughuli zote za kiserikali zinatumia lugha hiyo, japo zamani walikuwa wanatumia kifaransa, siku hizi wanatumia kiingereza. Canada kuna pande mbili, kuna majimbo yanayotumia kifaransa, na hiyo ndiyo lugha rasmi ya majimbo hayo inayotambulika katika katiba za majimbo hayo, na kuna majimbo yanayotumia English kama lugha rasmi ya majimbo hayo

Kenya ni nchi pekee duniani ambayo katiba yao inataja Kiswahili kama lugha ya taifa, na wananchi wake wengi ndiyo lugha wanayoielewa, lakini shughuli za serikali zikiwemo hutuma za kitaifa hufanyika kwa lugha ambayo sio ya taifa..It is a confused country
 
It really is not a big deal whatever language used. The idea of communication is the dissemination of it ...Whichever way it is done so long as it is received and understood the purpose has been achieved..English,Kiswahili, Sign Language or even Braille.
 
Siku Uhuru Kenyatta anaapishwa alianza hotuba yake kwa Kiswahili Akaomba asome hotuba yake kwa kiingereza ili wageni walioalikwa waweze kusikia na kuelewa anachokiongea. Hotuba ilikuwa nzuri.
 
Watu Wa mataifa ya nje wanaoishi Kenya ni Wengi hasa wazunguu.. Ambao wengi wao wanamiliki ardhi kubwa ya Kenya na hivyo wamefanywa kua moja ya RAIA Wa Kenya japo lugha ya kiswahili bado hawaielewi vizuri.. Kwahiyo kwenye masuala yanayohusu taifa kwa ujumla ni lazima watumie lugha ya kiingereza na kutumia lugha ya kiswahili kama wazungu wako excluded au hilo jambo linawahusu zaidi wakenya wenyewe
 
Kwa maana hiyo wamewapa kipaumbele wazungu na kuwatenga mamilioni ya wakenya vijijini na kwenye slums ambao kwa kiingereza ni shida?, ila ni ukweli kwamba, tabaka la juu la wakenya serikalini na wafanya biashara, hawakipendi kiswahili, na ndiyo tabaka linalothaminiwa na serikali kwa sababu ndiyo hao hao humo serikalini, ndiyo wanaolengwa na hizo hotuba za wanasiasa, hao huko vijijini na kwenye slums hakuna anayewajali zaidi ya kura na kufanya maandamano.
 
Uchizi unaanzia kwako ambaye hutaki elewa Kenya most of us we are speaking English wenye kiswahili ni wachache sana na kwa hiyo kaa kando wewe kama huewi
Unasifia ukoloni[emoji23][emoji23] kuna wakenya English broken, kiswahili broken kilugha hawajui yani shida tupuu
 
Kwa maana hiyo wamewapa kipaumbele wazungu na kuwatenga mamilioni ya wakenya vijijini na kwenye slums ambao kwa kiingereza ni shida?, ila ni ukweli kwamba, tabaka la juu la wakenya serikalini na wafanya biashara, hawakipendi kiswahili, na ndiyo tabaka linalothaminiwa na serikali kwa sababu ndiyo hao hao humo serikalini, ndiyo wanaolengwa na hizo hotuba za wanasiasa, hao huko vijijini na kwenye slums hakuna anayewajali zaidi ya kura na kufanya maandamano.
Hii pia nishida kubwa
 
Hakuna lugha ya English =kingereza
Wakenya wamesoma hadi wakola
 
Mjinga wewe, utasemaji watu wachache ndiyo wanaofahamu kuzungumza lugha ya taifa, sasa kuna maana gani ya kuitaja kuwa ndiyo lugha ya taifa wakati wananchi wengi hawaijui, kwani mlilazimishwa kuifanya iwe lugha ya taifa lenu?, tatizo wakenya wengi uwezo wenu wa kufuatilia na kujua mambo kwa undani ni mdogo sana

Shame on you kwa kusema Kenyan hatufuatilii mabo wacha hii kitu bro
 
Nadhani lugha za taifa ni English na kiswahili na ana uhuru wa kuchagua nini aongee. Na pia ni kushukuru Mungu hata anaongea hizo mbili kuliko akiamua kucharanga kilugha cha nyumbani.
Lugha ya mama Lazima as long as yupo nyumbani, lakini kama anawahotubia wamaasai hawezi tumia lugha yake ya mama ila atazungumza kwa kiswahili au kiingereza. It's common sense though not common to all.
 
Shame on you kwa kusema Kenyan hatufuatilii mabo wacha hii kitu bro
Sasa kama unafuatilia mambo utasemaje kwamba wakenya wanaofahamu kiswahili ni wachache kuliko wanaofahamu kiingereza?, ni sawa na kusema Kenya ni nchi ya watu weusi lakini wananchi wake waliowengi ni wazungu weupe, jaribu kufikiria kabla ya kuzungumza
 
kenya ina viongozi wa ajabu-kiongozi ambae anaongea na wanaichi wake awezi kutia lugha ngeni ili hali lugha ilio ya wengi ipoo-kuna wazee ambao madkini shule awakuziona kuna wengine kwa baht mbaya awakuweza kupata kukifahmu kiengereza -huu ni u mbu mbu mbu wa kiwango cha kusto jielewa-ckweli kua wakenya wote ligha ya kimalikia wana ifahamu
Toa mfano mmoja Kiongozi akiwahotubia wakenya kwa lugha wasioelewa. Just one example and I will forever take you seriously.
 
Watu Wa mataifa ya nje wanaoishi Kenya ni Wengi hasa wazunguu.. Ambao wengi wao wanamiliki ardhi kubwa ya Kenya na hivyo wamefanywa kua moja ya RAIA Wa Kenya japo lugha ya kiswahili bado hawaielewi vizuri.. Kwahiyo kwenye masuala yanayohusu taifa kwa ujumla ni lazima watumie lugha ya kiingereza na kutumia lugha ya kiswahili kama wazungu wako excluded au hilo jambo linawahusu zaidi wakenya wenyewe
Hivi wewe ushawahi toka nje ya Tanzania?
 
Mtoa mada huwa unakurupuka na hii hoja ya lugha, kila mara ukianzisha huwa tunakujibu halafu unasubiri miezi michache unarudia yale yale maneno.

Kenya tunafundishwa Kingereza kuanzia chekechea hivyo sio tabu, ila cha msingi tunajivunia uwezo wa kuongea lugha nyingi, hatujafungiwa kwenye lugha moja kama kondoo na mbuzi.

Tunaongea lugha zetu za asili, na pia tunaongea hizi na kuletwa kama vile Kiswahili cha Mwarabu wakati alikua anawabaka Waafrika na Kingereza cha Mzungu.

Hamna kitu kitamu kama kuwa na uwezo wa kubadilisha badilisha lugha, inaongeza hata uwezo wa kufikiri, ukizoea lugha moja unaishia kuwa limbumbumbu fulani hivi. Hata nchi za Ughaibuni kama vile Marekani, utakuta wengi wanaongea Kingereza na lugha zingine tano hivi.
 
Back
Top Bottom