Nisaidieni kwa hili

Nisaidieni kwa hili

Nishauri ndugu
Habari ndugu zangu.

Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.

Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.

Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.

Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.

Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunis
aidia mimi kijana wenu.
 
hata both team to score imegoma, yan mkeka unasema away win na over 1.5 huku wewe umeibetia home win hehhee
 
Habari ndugu zangu.

Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.

Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.

Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.

Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.

Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunis
aidia mimi kijana wenu.
👍👍👍
 
Habari

Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.

Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Ni heri unywe sumu ya panya ufe kuliko kuishi na Mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine single Mother. Kamwe usijaribu

Kiufupi iko hivi, Mwanamke hawezi zaa na mwanaume asiye mpenda wala kuwa na hisia naye, maana hawa viumbe wana endekeza sana hisia. Sasa kutokana na changamoto za hapa na pale wame achana ila kumbuka wameachna sababu ya mikwaruzano na siyo kwamba ghafla tuu huyu mwanamke alipoteza hisia kwa huyo mwanaume.

Sasa basi kwakuwa wameachana huyu mwanamke atahitaji mwanaume mwingine wa kusaidiana kulea hawa watoto,siyo kwamba atahitaji mwanaume wa kuwa na hisia naye ma ampende, ata kama ata kuonyesha ana mapenzi kwako, mapenzi hayo ni yale ya yeye kutaka tuu kupata mwanaume wa kulea naye mtoto au hao watoto, na kumkomoa yule mwanaume kumuonyesha kwamba anaweza bila yeye, sasa sikuzote mtu akiwa na njaa ata tia sana huruma, ila akisha shiba ndiyo utamjua yeye ni nani haswa.

Single Mother ata olewa na aliye mzalisha tuu. Simple and clear kama hujaelewa jichanganye alafu uje utuletee mrejesho hapa.
 
Mzee uliishia wapi kwenye kale ka pRoject ketu ka mazoezi na kuachana na wanawake?? 😂

Habari

Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.

Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Kwa hiyo wewe unataka jukumu la kulea hao watoto liwe lako si ndiyo? Kumbuka wanawake wakiwa na usongo wa mawazo kulea watoto wanakuwa wapole sana, wakishapata tu mtu wa kulea watoto wao wanamtafuta baba wa hao watoto ili wamtambie kuwa kishapata mwingine na jamaa akibembeleza kupewa kiporo anaonewa huruma na kupewa tena kitumbua akichafue. Kumbuka, hakuna mwanamke anayezaa na mwanamme asiyempenda!
 
FB_IMG_17122896432960581.jpg

Kuna wakati unachukua maamuzi ya ajabuajabu kumbe tatizo ni nyege zinakusumbua...

Wewe oa tu baadae ndio utajua
 
Habari

Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.

Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
".......hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto......."

👆👆👆 hiyo sentensi itakuponza
 
Ila Kuna wanaumee wanaujasiri sana .Kuna bro wangu yy analea single mama wa wtt 3 na yy kamzalisha watt wa 3 single mama alikujaga mikono nyuma ss hv ss bro anakwambia nataka kusepa niache nyumba mwanamke asikii,n mala*a,yaan kiufupi kachoka tabia za mke ndio hvyo wanaishi tu kisa wtt😂😂😂
Mama amezaa mimba sita bado ni Malaya tu?

Hiyo K itaoza sasa.
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
Hizi kanuni hizi
 
Back
Top Bottom