Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
- Thread starter
- #21
AiseeScenario kama hiyo Yako ghafla siku Moja nikamkuta msela kambeba mtoto wake wa kwanza road.. Kaa kwa machale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeScenario kama hiyo Yako ghafla siku Moja nikamkuta msela kambeba mtoto wake wa kwanza road.. Kaa kwa machale.
Habari ndugu zangu.Nishauri ndugu
👍👍👍Habari ndugu zangu.
Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.
Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.
Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.
Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.
Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.
Basi nakaribisha mawazo yenu kunis
aidia mimi kijana wenu.
Ni heri unywe sumu ya panya ufe kuliko kuishi na Mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine single Mother. Kamwe usijaribuHabari
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Kwa hiyo wewe unataka jukumu la kulea hao watoto liwe lako si ndiyo? Kumbuka wanawake wakiwa na usongo wa mawazo kulea watoto wanakuwa wapole sana, wakishapata tu mtu wa kulea watoto wao wanamtafuta baba wa hao watoto ili wamtambie kuwa kishapata mwingine na jamaa akibembeleza kupewa kiporo anaonewa huruma na kupewa tena kitumbua akichafue. Kumbuka, hakuna mwanamke anayezaa na mwanamme asiyempenda!Habari
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
".......hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto......."Habari
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Apime na DNA kabisaMuulize huyo mapenzi wako ,huyo mzazi mwenzie amekufa?Kama hajakufa mwache apambane mwenyewe,lakini pia kama amekufa mwambie akupeleke kwenye Hilo kaburi ukaone mwenyewe 🤣🤣🏃
Mama amezaa mimba sita bado ni Malaya tu?Ila Kuna wanaumee wanaujasiri sana .Kuna bro wangu yy analea single mama wa wtt 3 na yy kamzalisha watt wa 3 single mama alikujaga mikono nyuma ss hv ss bro anakwambia nataka kusepa niache nyumba mwanamke asikii,n mala*a,yaan kiufupi kachoka tabia za mke ndio hvyo wanaishi tu kisa wtt😂😂😂
Hizi kanuni hiziKanuni ni zilezile inapohusu single maza
●Hatulei bao la mwanaume mwingine
●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake
●Single maza waolewe na baba za watoto wao
●Single maza ni wa kupiga na kusepa
Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
Learn or perish