Mara ya kwanza nilikutana na Bujibuji nilikua waiting room ya White house nikienda kumalizia mazungumzo fulani kwa 'Bama. Mkutano wetu ulikua ni saa tano kamili ila 'Bama akaja kuniomba radhi kwa sababu mkutano wake na Buji wa saa nne ulihairishwa kidogo to saa tano hiyo hiyo kwa sababu ya bad weather.
See, Mkuu Buji alikua anasafiri na private jet, pilot wake ni Mfaransa, anazowea hizi winter za kitoto za huku kwetu (Did I mention I live in Cote d'Azur?). Basi ikabidi nikubali tu maana hawa viongozi wa mashariki hawapendi kulazimishwa.
Then nikamuona mwenyewe the magnificient Buji anakuja amevaa fur nyeupeeee kama barafu, nikamuuliza Michelle (Obama) huyu ndie nani? Akasema huyu ndie Buji tuliekua tunamsubiri. Nimaomba namba yake, Michelle akasema last time alitoa hiyo number kwa Beyonce Buji alikuja juu, hivo ni bora nimuombe mwenyewe.
Kwa bahati mbaya kabisa alipita 24 m from me, nikashindwa kumfuata (na mimi nina pride kidogo ati).
Next time nakuja na sehem ya pili, ambapo tulikutana Dubai in the desert.
Weeeee!!!?Ishia hapo hapo..Usituharibie familia yetu..Huyu ni mama yangu wa kufikia
Kopi kwa Mwita Maranya mwaJ & Snowwhite
Tatizo hapa JF hampendi ukweli. Ningekuja na uongo mgeniamini kabisa na kunibeba juu. Now that naamua kuwafungulia angalau dirisha ili mjue ninavoishi mnaona ni maswagg tu ya mitaani. Haya, sisemi tena. Ila Michelle shahidi wangu, ukkitaka nikupe BBM pin number yake umuulize (ila leo siku ya spa, atakua busy kidogo)Ha ha ha, sasa wewe unataka kumzidi hata mwenye sred yake?
Bora aripoti abyuzi.
Jamani sijui naumwa au nimelogwa.
huu ugonjwa unanitesa na kunimaliza.
Napenda sana sifa na mbwembwe na nikiona mabinti ndio kabisaaaaaa.
Ntajidai Kikwete ni houseboy wangu, Bakhresa ni msafisha viatu vyangu.
Sasa kuna binti nilimuelekeza ofisini kwangu.
Nikamwambia anipigie simu kabla hajaja.
Yeye akaja ghafla bila simu wala nini, kidogo tu nizimie, alinikuta nimevaa apron na mkononi nina mop na mbaya zaidi tea girl alikuwa akiniita kwa jina na kusema natakiwa jikoni nikapige deki kuna maji yamemwagika
Huyo cha sifa sio mtarajiwa wangu! Ninamkana mara 3!
He he he, basi mama yenu MwaJ aanacheat na Buji.
Niliwaona vakesheni Hawaii
Tatizo hapa JF hampendi ukweli. Ningekuja na uongo mgeniamini kabisa na kunibeba juu. Now that naamua kuwafungulia angalau dirisha ili mjue ninavoishi mnaona ni maswagg tu ya mitaani. Haya, sisemi tena. Ila Michelle shahidi wangu, ukkitaka nikupe BBM pin number yake umuulize (ila leo siku ya spa, atakua busy kidogo)
Haki ya nani Kongosho nitakufungulia mashtaka nikudai fidia kwa kunidhalilisha! Kumbuka tu fidia nitakayodai utauzwa mpaka wewe mwenyewe maana hutoweza kuilipa! Huko Hawaii nilikuwa na Mwita Maranya. Huyo Bujibuji tulimchukua kama msaidizi wetu si unajua tukienda vakesheni lazima tufuatane na baadhi ya watumishi wetu?
Haki ya nani Kongosho nitakufungulia mashtaka nikudai fidia kwa kunidhalilisha! Kumbuka tu fidia nitakayodai utauzwa mpaka wewe mwenyewe maana hutoweza kuilipa! Huko Hawaii nilikuwa na Mwita Maranya. Huyo Bujibuji tulimchukua kama msaidizi wetu si unajua tukienda vakesheni lazima tufuatane na baadhi ya watumishi wetu?
Bujibuji naomba kujua unatumia simu gani, model gani?
Ha ha ha, sasa wewe unataka kumzidi hata mwenye sred yake?
Bora aripoti abyuzi.