Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mkuu hapo pa blue panamanisha nini? Nimekutana na hilo neno kwny post tofaut tofaut za wanajf lkn cjajua wanamanisha nini...!
Arushaone niko huku USA na baaada ya hapa ntaenda Ulaya na Asia kununua Tanzanite zote zilizoko sokoni ili nizirudishe Mbuguni Mererani, maana nasikia wenzako huko machimboni wanakucheka kuwa eti mgodi wako ni tasa.
mwaJ uwe unaongea ukweli. Mwambie ukweli mumeo kuwa mimi ndio niliye finance ziara nzima ya Hawaii, ila tu ulimdanganya Mwita Maranya kuwa umeshinda bahati nasibu. Unakumbuka ulivyo nisifia kwa mapenzi motomoto niliyokupa usiku ule wa kwanza?
Sitaki kuamini kuwa una mimba nyingine, jamani mwaJ unataka kuijaza dunia peke yako??Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Jamani mwenzenu sina nguvu ya kubishana na kichaa! Kumbe Bujibuji bado hujapona akili!
ah ah ah! Ndio wewe ulipiga picha kwenye ile ndiga ya kifahari? Kwani ni yako au ilikuaje[/QUOt
duuu ushauri wako utata mtupu
mpendwa...mzima weye, potea sana!!!
Nipo mpendwa ...........majukumu haya! Yananifichaje????
Nimefurahi kutambua waendelea vyema...pole na kujukumika