Nisaidieni mwenzenu, napenda sana sifa

Bujibuji eti darasani ulikua unakuwa wa ngapi?? kuna mtu anataka kujua hapa...

watu8 mi nimesoma shule ya peke yangu tangu chekechea.
Waalimu waliokuwa wakinifundisha nilikuwa nikiwakodia ndege daily wakija kunifundisha kutoka huko kwao Ulaya.
 
Last edited by a moderator:
Wakati flani niliwahi kufanya kazi Ikulu, nikiwa Dobi mkuu wa Mwl. J.k.
Nilisafiri na Mwl takriban nchi 78 duniani.
Niliruka na midege safari 132.
Btw Dobi mie nilipokua hom namie nilikua na Dobi wangu!
(haikua kioja! Mie si ni Dobi wa Ikulu bwana)
Kioja ni siku nilipomtembelea Dobi wangu nyumbani kwake, nilipogundua nae ana Dobi wake!
 
Tukusaidie nini mkuu, tukusifie au...!?? BTW una undugu na Bishanga!??
Mkuu hapo pa blue panamanisha nini? Nimekutana na hilo neno kwny post tofaut tofaut za wanajf lkn cjajua wanamanisha nini...!
 
Last edited by a moderator:
WIVU HUU: mke;anamuuliza
mumewe, hiv una wanawake
wangap huko nje?
Mume; kama nywele zang,
Mke: akachukua nguo zake
akaondoka, alipofika njian
akakumbuka kuwa mumewe ana
kipara akaanza kurudi mbio. Bujibuji kiboko yaani leo nimecheka moaka mbavu sita za kushoto sina nimelazwa maana hii amenitolea ni copy na wife wangu maswali yake na eti anatishia kila siku kurudi kwao, hivi ni lini watakuwa? haya maswali wayaache
 
Last edited by a moderator:
Mweeh nakuonea wivu...mimi nimesoma darasa kama behewa za Mwakyembe...shule ilikua mbali kama kwenda machungani vile

watu8 mi nimesoma shule ya peke yangu tangu chekechea.
Waalimu waliokuwa wakinifundisha nilikuwa nikiwakodia ndege daily wakija kunifundisha kutoka huko kwao Ulaya.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, itabidi uhame kuishi karibu na Bishanga.

Nimecheka, eti leo ni siku ya spa.

Konnie,mi namshangaa Bujibuji eti anataka kushindana na bishanga kwa mihela....mwambie ukiiga kupuuu kwa tembo......
Kopi aione Roulette ...... for ur taarifa huyo bama ni golf buddy wangu tena toka hata hajawa seneta wa chicago,IL
 
Last edited by a moderator:
Wewe Ndio unapeleka marafiki zako nyumba ya jirani ukidai kwenu....
 

Heee kumbe bujibuji yuko juu namna hii?Sasa sijui ni nini kinachomuhangaisha kwa mwaJ
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…