Nisaidieni mwenzenu, napenda sana sifa

Mkuu hapo pa blue panamanisha nini? Nimekutana na hilo neno kwny post tofaut tofaut za wanajf lkn cjajua wanamanisha nini...!

Blac kid ingawaje unachokiuliza hata mimi naweza kukujibu, bt nachelea kukujb coz wewe umemlenga a certain person ndy akujibu!
Sasa kwa mtu mzima kama mimi kuwa kiherehere wa kujibu nisichoalikwa, haipendezi.
Kwa kukusaidia ili upate jb la haraka waweza lileta swali lako hilo, na mengine yakusumbuayo through kuyafungulia post!
Ili wadau wawe huru kukusaidia, instead na kuulizia kwa specific person!
Wengine wakisha comment sehemu huwa hawarudi tena kwenye Thrade hiyo, kama alivyoumwaga hapa Baba V .
 
Last edited by a moderator:
Wewe delusions huna adabu! Nani kakuruhusu kuleta habari za siasa humu?

USIRUDIE TENA. DAMN.
Arushaone niko huku USA na baaada ya hapa ntaenda Ulaya na Asia kununua Tanzanite zote zilizoko sokoni ili nizirudishe Mbuguni Mererani, maana nasikia wenzako huko machimboni wanakucheka kuwa eti mgodi wako ni tasa.
Nikizileta huko naamini utakata kabisa vilimilimi vyao.
Ntakupa bure wala usijali.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ uwe unaongea ukweli. Mwambie ukweli mumeo kuwa mimi ndio niliye finance ziara nzima ya Hawaii, ila tu ulimdanganya Mwita Maranya kuwa umeshinda bahati nasibu. Unakumbuka ulivyo nisifia kwa mapenzi motomoto niliyokupa usiku ule wa kwanza?

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Jamani mwenzenu sina nguvu ya kubishana na kichaa! Kumbe Bujibuji bado hujapona akili!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Jamani mwenzenu sina nguvu ya kubishana na kichaa! Kumbe Bujibuji bado hujapona akili!
Sitaki kuamini kuwa una mimba nyingine, jamani mwaJ unataka kuijaza dunia peke yako??
Maana dalili zako za mimba ni zilezile kwenye kila mimba yako
 
Last edited by a moderator:
Heee kumbe bujibuji yuko juu namna hii?Sasa sijui ni nini kinachomuhangaisha kwa mwaJ

Best kinachonihangaisha ni hizo sifa zake! Mtu anapenda sifa mpaka anatia aibu! Nani anataka kuaibishwa bana? Ndio maana nilikuachia uhangaike nae.
 
Sitaki kuamini kuwa una mimba nyingine, jamani mwaJ unataka kuijaza dunia peke yako??
Maana dalili zako za mimba ni zilezile kwenye kila mimba yako

Yereeewiiiiiiiiiiiiiiii! Haki ya nani tunakutafuta mpaka tukupete! Lazima ukafungwe na kamba Milembe!
 
Nimefurahi kutambua waendelea vyema...pole na kujukumika

Senki yuu!
Pole nawe maana najua majukumu hayachagui,kama hayajakufikia basi yako njiani ni swala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…