Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

Siyo limbwata, ni mahaba++. Hata mimi ilishanitokea kwa single maza mmoja, almanusura nimuache wife. Kilicho nisaidia just before ya kumuacha wife Magu kaingia kutawala nchi. Slowly biashara zikaanza kuwa mbaya. Hali ya fedha nayo ikaanza kuwa mbaya...single maza akaanza kunikwepa. Akanipigia simu kuwa kila mtu achukue ustraabu wake.

Bahati mzuri home nilikuwa sijaharibu kivilee. Nikajirudisha 100% home...tukapambana maisha yakaendelea kibibishi hadi leo.

So no matter what...tafuta njia yoyote ya kumbembeleza wife. Urudi mmalizie ujana wenu.
 
Una bahati ya mtende
 
Back
Top Bottom