Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
MakondeNa wewe ni Mchagga?
πππMmakonde Alikupa mauno vizuri???
Sema kweliiiiπππ
Pale Mtwara jirani na uwanja wa Nangwanda Sijaona kulikuwa na bar inajaza sana inaitwa Copa CabanaMakonde
Balaa lake zitoSema kweliiii
π π π copa cabana ni mji mmoja wa bata huko mambelePale Mtwara jirani na uwanja wa Nangwanda Sijaona kulikuwa na bar inajaza sana inaitwa Copa Cabana
Hadi nya anatoaBalaa lake zito
Mchagga atasema kiruuuuuu, wapi huko?Hadi nya anatoa
Ni Beach ipoRio de Jeneiro Brazilπ π π copa cabana ni mji mmoja wa bata huko mambele
Wanatoa pia.Mchagga atasema kiruuuuuu, wapi huko?
Ndiyo mkuuNi Beach ipoRio de Jeneiro Brazil
Siku ngapi? Kwa kipimo gani?Ogea chumvi ya mawe
Una bahati ya mtendeSiyo limbwata, ni mahaba++. Hata mimi ilishanitokea kwa single maza mmoja, almanusura nimuache wife. Kilicho nisaidia just before ya kumuacha wife Magu kaingia kutawala nchi. Slowly biashara zikaanza kuwa mbaya. Hali ya fedha nayo ikaanza kuwa mbaya...single maza akaanza kunikwepa. Akanipigia simu kuwa kila mtu achukue ustraabu wake.
Bahati mzuri home nilikuwa sijaharibu kivilee. Nikajirudisha 100% home...tukapambana maisha yakaendelea kibibishi hadi leo.
So no matter what...tafuta njia yoyote ya kumbembeleza wife. Urudi mmalizie ujana wenu.
Utaungua, chai ya moto mno.Siti ya mbele kabsa