Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

Kuna wanaume very cheap, ukutane na mwanamke siku hiyo hiyo na umle aiku hiyo hiyo?
Hilo ndio jambo limenishinda.

Mwanamke mrahisi kivile simtaki kabisa na naona kinyaa.
Kabisaaa huo ujasiri sijui huwa wanautoa wapi hata hizo hisia sijui huwa zinatoka wapi.
Lkn wapo wanawake wa hivyo na hao ni wale ambao wapo kimkakati.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipewa limbwata huwezi kujitambua mpaka uandike ujumbe huu. Ni saikolojia yako
 
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.

Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo alikuwa mzuri kichizi.

Baada ya kama miaka 15 ndipo nikakutana naye tena, nilikutana naye mitaa ya Masaki, nikiwa natoka Shopper's Plaza kupata mahitaji kwa ajili ya XMas yeye alikuwa ndio analipia vitu vyake na mimi niko kwenye que nyingine.

Basi tukasalimiana na kuchangamkiana, tukapeana na namba. Tukawa tunapiga story za mwisho za kuagania.

Basi, sikuwa na gari, nikamwambia niite Bolt ili inipeleke home. Akasema atanipeleka kama nitamruhusu.

Muda huo wife mtoto walikuwa Moshi wameenda kula sikukuu. Basi akanifikisha hadi home.

Sasa nikawa nimemkaribisha wine, na mimi nimejifungulia K Vant yangu. Nikatoa na sausages nikazichoma kwenye oven fasta tukawa tunakunywa huku tunapiga story.

Akaomba nimmiminie KVant kidogo kwenye wine yake, basi tukaendelea hivyo. Kuja kushtuka ni asubuhi ya alfajiri, tuko uchi, tumechapana sana dudu.


Yeye kakata moto kabisa, nikamfunika nikamkumbatia, kisha nikapitiwa na usingizi mzito.

To make a story short.
Mke wangu akahamishiwa Dodoma, akaenda na dogo, nikabaki mwenyewe. Nikaona nitafute studio apartment mitaa ya Regent Estate ambapo nitamfaidi huyu mwanamke badala ya awe anakuja kwangu.

Dada akaivuruga akili yangu kabisa, wote tukajikuta tunaishi pamoja kwenye studio apartment, mwiezi na miezi ikapita.

Mawasiliano na mke wangu yalikuwa yanaendelea vizuri lakini moyoni kanitoka kabisaaaaaa.

Kuna siku akarudi ghafla nyumbani, akakuta nyumba iko valuvalu na kijana tu. Akamuuliza baba yuko wapi, akasema hajarudi tangu juzi, hela anatuma kwa Mpesa.

Basi akanipigia kisha akaanza kunitukana matusi makubwa, nikamjibu tu, kwanzia sasa sirudi tena hapo. Na kweli sijawahi kurudi tangu 2020.


Sasa akili zimekaa sawa, niko na huyu dada wa Kimakonde na watoto wake watatu, nawasomesha, nawalisha na kuwavisha, wakati sijui mwanangu anaendeleaje.

Natamani niondoke nirudi nyumbani, lakini nashindwq, mke wangu alishabadilisha namba na hataki hata kunisikia.

Najaribu nipate mwanamke mwingine niachane na huyu Mmakonde, kila ninayempata mapenzi yetu hayadumu tunaishia kuachana tu.

Naombeni msaada wenu wakuu wangu.
Matusi, kashfa na kebehi rukhsa, najua katika hayo nitaambulia msaada
Endelea kusomesha watoto wa wanaume wenzio acha mtoto wako afe, ndiyo uanaume huo.
 
Nakimbilia wapi sasa? Mwaka wa 4 sijaingia kwangu
Endelea Sasa....yaan kilicho niumiza ni wewe kusomesha watoto wa mwanaume mwenzako..

Alaf haujihusishi na damu yako your bloodstream yako..

Roho imeniuma sana datc nikiifikilia familia yangu Huwa sitongozi ovyo ovyo na siku zote husita sana kufanya maamuzi ovu najua nyuma yangu Kuna watu wanajua value yako......

NB:
Kama wale watoto ni wako wakuwazaa Rudi Kwa ajili Yao ni faraja Kwa watoto kua na mtu wa kumuita baba..

Kwa Sasa ni hayo tu

Wasalaam
 
pole sana mkuu, isije ikawa wife wako ndio kasuka mchezo upotelee mbali
 
Siyo limbwata, ni mahaba++. Hata mimi ilishanitokea kwa single maza mmoja, almanusura nimuache wife. Kilicho nisaidia just before ya kumuacha wife Magu kaingia kutawala nchi. Slowly biashara zikaanza kuwa mbaya. Hali ya fedha nayo ikaanza kuwa mbaya...single maza akaanza kunikwepa. Akanipigia simu kuwa kila mtu achukue ustraabu wake.

Bahati mzuri home nilikuwa sijaharibu kivilee. Nikajirudisha 100% home...tukapambana maisha yakaendelea kibibishi hadi leo.

So no matter what...tafuta njia yoyote ya kumbembeleza wife. Urudi mmalizie ujana wenu.
Miaka 3 imepita hana mawasiliano na wife wake na anachapa ke wengine anaacha. Huyo hana mpango na wife wake.
 
Usicheze kabisa na Dom, Bora hata Dar mtu anaweza kujikaza🤣
Shida Dom kuna kibaridi flani hivi cha kuamsha hamu🤣🤣🤣 lazima utafute kumbatio, ukinogewa unasahau familia.
Hata huyu jamaa mkewe naye alikuwa anamtafutia sababu, anarudije nyumbani bila kutoa taarifa🤣🤣
Miili ya watu wawili imekutwa ndani ikiwa na majeraha katika Mtaa wa Oysterbay, Kata ya Dodoma Makulu kwenye chumba ambacho mwanamke aliyeuawa alikuwa amepanga huku aliyefanya mauaji hayo bado hajafahamika.
 
Kuna wanaume very cheap, ukutane na mwanamke siku hiyo hiyo na umle siku hiyo hiyo?

Afya mcheki saa ngapi?
huwezi kufikiria kuwa analika kirahisi na hayupo sqlama?

Hilo ndio jambo limenishinda.

Mwanamke mrahisi kivile simtaki kabisa na naona kinyaa.
Mm kipindi nakua kua secondary mpaka university kijana mstaarab na mpole sana akili darasani very humble nilikuaga na bahati ya kutongozwa sana na mabinti ila Mimi ndio nazingua mpak washikaji wakawa wana nisema mbona hawapati izo bahati wao....

NB:
understand determination one can turn a desert in to evergreen Forest...
 
Kuna kabila huwa siligusi.
Wamakonde na Wazaramo ninawaomba radhi sana.
Kwa kweli haya mambo kuomba Mungu. Mwanaume mwenye staha hawezi mkaribisha mchepuko kwenye makazi anayoishi na mke wake. Ndo maana alimdharau akamfanyia huo ujinga maana alishaona akili zake mbili.

Cha kufannya hapo atafute mchungaji au ndugu zake huyo mke wamuombee msamaha na aseme alikokuwa. Lkn hata asiposamehewa apambane tu na hali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli haya mambo kuomba Mungu. Mwanaume mwenye staha hawezi mkaribisha mchepuko kwenye makazi anayoishi na mke wake. Ndo maana alimdharau akamfanyia huo ujinga maana alishaona akili zake mbili.

Cha kufannya hapo atafute mchungaji au ndugu zake huyo mke wamuombee msamaha na aseme alikokuwa. Lkn hata asiposamehewa apambane tu na hali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaume wengine mafalla sana.
Kwanza mwanamke asiye mke au mke mtarajiwa asichafue kitanda chako, maisha yangu yote nimelishinda hili.

Fanyia uchafu lodge au hotelini.
Usisogeze uchafu kitandani mwako unapotarajia kulalia na mkeo.

TUnajidhalilishaga sana wanaume, tunakuwa very cheap mnoo, wanawake wametujua kuwa hajui kukataa uchi, haya ni matusi.

Mwanaume unapaswa kuwa na msimamo..
No ni noo na ndio ni ndio
 
Kabla huyajoa hakikisha umemaliza mishangazi, maguberi guberi lweny mapenzi, makonki wa KUNYANDUANA ndio uoe, hapo unakuwa si mshamba wa mapenzi wala KUTO...MBANA.. hakuna kipya utaona.

Pole mkuu, kukubali una tatizo ndio hatua ya kwanza ya kutatua tatizo, tafuta wazee, mtafute mkeo myazungumze hayo, wao wameona mengi watajua namna ya kukunasua, kama kweli mambo ya kiswahili pambana.
Ila mpaka umepata mashaka ni aidha hujarogwa au umepona.
 
Kabla huyajoa hakikisha umemaliza mishangazi, maguberi guberi lweny mapenzi, makonki wa KUNYANDUANA ndio uoe, hapo unakuwa si mshamba wa mapenzi wala KUTO...MBANA.. hakuna kipya utaona.

Pole mkuu, kukubali una tatizo ndio hatua ya kwanza ya kutatua tatizo, tafuta wazee, mtafute mkeo myazungumze hayo, wao wameona mengi watajua namna ya kukunasua, kama kweli mambo ya kiswahili pambana.
Ila mpaka umepata mashaka ni aidha hujarogwa au umepona.
Mkuu acha nibaki kuwa mshamba daima.
Sijawahi kufakamia mishangazi, niliwahi kuwekwa kona ambayo huwezi kuchomoa na mishangazi kama 3 kwa wakati tofauti lkn ashukuriwe Mungu nilivuka viunzi.

Kwenye suala la mahusiano huwa nina kauchaguzi kabaya sana.
Kimsingi ninacheka sana na kufurahi na watu wengi, ndio asili yangu but suala la mapenzi na sex daima uchaguzi wangu ni mgumu sana.

Huu ni msimamo wangu wa kudumu na sijawahi kutetereka.

Ninaposema mishangazi ieleweke naongekea mwanamke aliyenizidi umri
 
Back
Top Bottom