Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
- Thread starter
- #81
AsanteMkuu pole sana ila unaonekana maisha unayo sio mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteMkuu pole sana ila unaonekana maisha unayo sio mbaya
Ni mashetani ila watamu sanaPambana na hali yako. Tunaposema wanawake nimashetwani hamtaki kuelewa
NitajaribuInasadikika kwahyo jaribu
Ungekua umepewa limbwata usingekua na uwezo wakujitambua maswala ya kujihisi🤣🤣Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.
Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo alikuwa mzuri kichizi.
Baada ya kama miaka 15 ndipo nikakutana naye tena, nilikutana naye mitaa ya Masaki, nikiwa natoka Shopper's Plaza kupata mahitaji kwa ajili ya XMas yeye alikuwa ndio analipia vitu vyake na mimi niko kwenye que nyingine.
Basi tukasalimiana na kuchangamkiana, tukapeana na namba. Tukawa tunapiga story za mwisho za kuagania.
Basi, sikuwa na gari, nikamwambia niite Bolt ili inipeleke home. Akasema atanipeleka kama nitamruhusu.
Muda huo wife mtoto walikuwa Moshi wameenda kula sikukuu. Basi akanifikisha hadi home.
Sasa nikawa nimemkaribisha wine, na mimi nimejifungulia K Vant yangu. Nikatoa na sausages nikazichoma kwenye oven fasta tukawa tunakunywa huku tunapiga story.
Akaomba nimmiminie KVant kidogo kwenye wine yake, basi tukaendelea hivyo. Kuja kushtuka ni asubuhi ya alfajiri, tuko uchi, tumechapana sana dudu.
Yeye kakata moto kabisa, nikamfunika nikamkumbatia, kisha nikapitiwa na usingizi mzito.
To make a story short.
Mke wangu akahamishiwa Dodoma, akaenda na dogo, nikabaki mwenyewe. Nikaona nitafute studio apartment mitaa ya Regent Estate ambapo nitamfaidi huyu mwanamke badala ya awe anakuja kwangu.
Dada akaivuruga akili yangu kabisa, wote tukajikuta tunaishi pamoja kwenye studio apartment, mwiezi na miezi ikapita.
Mawasiliano na mke wangu yalikuwa yanaendelea vizuri lakini moyoni kanitoka kabisaaaaaa.
Kuna siku akarudi ghafla nyumbani, akakuta nyumba iko valuvalu na kijana tu. Akamuuliza baba yuko wapi, akasema hajarudi tangu juzi, hela anatuma kwa Mpesa.
Basi akanipigia kisha akaanza kunitukana matusi makubwa, nikamjibu tu, kwanzia sasa sirudi tena hapo. Na kweli sijawahi kurudi tangu 2020.
Sasa akili zimekaa sawa, niko na huyu dada wa Kimakonde na watoto wake watatu, nawasomesha, nawalisha na kuwavisha, wakati sijui mwanangu anaendeleaje.
Natamani niondoke nirudi nyumbani, lakini nashindwq, mke wangu alishabadilisha namba na hataki hata kunisikia.
Najaribu nipate mwanamke mwingine niachane na huyu Mmakonde, kila ninayempata mapenzi yetu hayadumu tunaishia kuachana tu.
Naombeni msaada wenu wakuu wangu.
Matusi, kashfa na kebehi rukhsa, najua katika hayo nitaambulia msaada
Kuna jamaa yangu alihamia huko kama 4 years ss,Dodoma kuna watu maalum wa kufariji watumishi waliohamishiwa kule
Anayelogwa huwa anajua?Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.
Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo alikuwa mzuri kichizi.
Baada ya kama miaka 15 ndipo nikakutana naye tena, nilikutana naye mitaa ya Masaki, nikiwa natoka Shopper's Plaza kupata mahitaji kwa ajili ya XMas yeye alikuwa ndio analipia vitu vyake na mimi niko kwenye que nyingine.
Basi tukasalimiana na kuchangamkiana, tukapeana na namba. Tukawa tunapiga story za mwisho za kuagania.
Basi, sikuwa na gari, nikamwambia niite Bolt ili inipeleke home. Akasema atanipeleka kama nitamruhusu.
Muda huo wife mtoto walikuwa Moshi wameenda kula sikukuu. Basi akanifikisha hadi home.
Sasa nikawa nimemkaribisha wine, na mimi nimejifungulia K Vant yangu. Nikatoa na sausages nikazichoma kwenye oven fasta tukawa tunakunywa huku tunapiga story.
Akaomba nimmiminie KVant kidogo kwenye wine yake, basi tukaendelea hivyo. Kuja kushtuka ni asubuhi ya alfajiri, tuko uchi, tumechapana sana dudu.
Yeye kakata moto kabisa, nikamfunika nikamkumbatia, kisha nikapitiwa na usingizi mzito.
To make a story short.
Mke wangu akahamishiwa Dodoma, akaenda na dogo, nikabaki mwenyewe. Nikaona nitafute studio apartment mitaa ya Regent Estate ambapo nitamfaidi huyu mwanamke badala ya awe anakuja kwangu.
Dada akaivuruga akili yangu kabisa, wote tukajikuta tunaishi pamoja kwenye studio apartment, mwiezi na miezi ikapita.
Mawasiliano na mke wangu yalikuwa yanaendelea vizuri lakini moyoni kanitoka kabisaaaaaa.
Kuna siku akarudi ghafla nyumbani, akakuta nyumba iko valuvalu na kijana tu. Akamuuliza baba yuko wapi, akasema hajarudi tangu juzi, hela anatuma kwa Mpesa.
Basi akanipigia kisha akaanza kunitukana matusi makubwa, nikamjibu tu, kwanzia sasa sirudi tena hapo. Na kweli sijawahi kurudi tangu 2020.
Sasa akili zimekaa sawa, niko na huyu dada wa Kimakonde na watoto wake watatu, nawasomesha, nawalisha na kuwavisha, wakati sijui mwanangu anaendeleaje.
Natamani niondoke nirudi nyumbani, lakini nashindwq, mke wangu alishabadilisha namba na hataki hata kunisikia.
Najaribu nipate mwanamke mwingine niachane na huyu Mmakonde, kila ninayempata mapenzi yetu hayadumu tunaishia kuachana tu.
Naombeni msaada wenu wakuu wangu.
Matusi, kashfa na kebehi rukhsa, najua katika hayo nitaambulia msaada
Kusumbuliwa na mapenziNutajuaje kama nimeruka stage?
Usicheze kabisa na Dom, Bora hata Dar mtu anaweza kujikaza🤣Kuna jamaa yangu alihamia huko kama 4 years ss,
Mwaka wa kwanza wote alikuwa anarudi Dar kila weekend Ijumaa ama Jumamosi kurudi Dom tena J2 au J3,
Mwaka wa pili akawa anakuja Dar kuchek Familia Mara Mbili kwa mwezi,
Mwaka wa tatu akawa anarudi Mjini mara Moja kwa mwezi,
Mwaka wa ninnavyozungumza hajarudi tena mjini yapata miezi 9!
ama kweli Dodoma wapo wafariji!!
Hii thread imekaa kikamba kamba miaka 4 bila kurudi ulipojenga
Hajarogwa huyu, Kwanza wamakonde tunaendaga kurogea Nchumbijiii kwenye origin yetu, Angeendewa huko angesahau hata Kama aliwahi kuwa na familia.....awaulize waliowapa wamakonde mapagala Yao walinde walivyoyasahau🤣🤣Yaan upewe limbwata na bado fahamu uwe nayo, na unakua kabisa umepewa limbwata? Hivi unalijua au unalisikia?
Acha kufananisha limbwata na mambo ya kijinga.
Subiria ukufe na kufufuka na Yesu kwanza🤣🤣Nisaidieni na mimi nijitambue jamani, hali siyo nzuri huku.
Hawatakuelewa.Usiombe yakukute
Kuna wanaume very cheap, ukutane na mwanamke siku hiyo hiyo na umle siku hiyo hiyo?Poleee sana. Leo hii unaona mke hana umuhimu lkn ukiumwa hapo au ukikosa kazi utarudi kwa mke yule yule uliyemwona hana maana. Kesho watoto wasipokuheshimu utaanza kulalamika kuwa mama yao anawalisha sumu. Kama sio kulogwa kitu gani usahau hata watoto wako uliozaa mwenyewe ukasomeshe watoto wa wenzio.
Wanaume Mungu awasaidie sana.
Sent using Jamii Forums mobile app