NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mkisomeshewaga watoto HUWA mnatoa penzi la dhati KWELI!ndio maana tunachanganyikiwa!!!Uko sahihi..Kuna tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkisomeshewaga watoto HUWA mnatoa penzi la dhati KWELI!ndio maana tunachanganyikiwa!!!Uko sahihi..Kuna tatizo?
Wewe rudi brother pale ni kwako achana na huyo mwanamkeNakimbilia wapi sasa? Mwaka wa 4 sijaingia kwangu
Achana na stress ya ada!ukiweza kuziovercome hakuna mizungu hutoonyeshwa😁😁😁Mkisomeshewaga watoto HUWA mnatoa penzi la dhati KWELI!ndio maana tunachanganyikiwa!!!
Kuna length unajua.. Mimi Nilihisi kuwa siko normal dhidi ya yule Single Mother but nikawa nachukulia poa . siku zilivyoenda nikaambiwa na msaidizi wa mganga wake.Anayelogwa huwa anajua?
Mkuu langu mim ni balaa, nimecha familia sasa nakaa na kimada. Sijui mwanangu anakula nini, ndugu pande zote wamenitenga na eti hata siwataki wala kuona umuhimu wao. Mpaka mama yangu mzazi namkwepa na simu sipokei. Limbwata lipoKuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.
Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo alikuwa mzuri kichizi.
Baada ya kama miaka 15 ndipo nikakutana naye tena, nilikutana naye mitaa ya Masaki, nikiwa natoka Shopper's Plaza kupata mahitaji kwa ajili ya XMas yeye alikuwa ndio analipia vitu vyake na mimi niko kwenye que nyingine.
Basi tukasalimiana na kuchangamkiana, tukapeana na namba. Tukawa tunapiga story za mwisho za kuagania.
Basi, sikuwa na gari, nikamwambia niite Bolt ili inipeleke home. Akasema atanipeleka kama nitamruhusu.
Muda huo wife mtoto walikuwa Moshi wameenda kula sikukuu. Basi akanifikisha hadi home.
Sasa nikawa nimemkaribisha wine, na mimi nimejifungulia K Vant yangu. Nikatoa na sausages nikazichoma kwenye oven fasta tukawa tunakunywa huku tunapiga story.
Akaomba nimmiminie KVant kidogo kwenye wine yake, basi tukaendelea hivyo. Kuja kushtuka ni asubuhi ya alfajiri, tuko uchi, tumechapana sana dudu.
Yeye kakata moto kabisa, nikamfunika nikamkumbatia, kisha nikapitiwa na usingizi mzito.
To make a story short.
Mke wangu akahamishiwa Dodoma, akaenda na dogo, nikabaki mwenyewe. Nikaona nitafute studio apartment mitaa ya Regent Estate ambapo nitamfaidi huyu mwanamke badala ya awe anakuja kwangu.
Dada akaivuruga akili yangu kabisa, wote tukajikuta tunaishi pamoja kwenye studio apartment, mwiezi na miezi ikapita.
Mawasiliano na mke wangu yalikuwa yanaendelea vizuri lakini moyoni kanitoka kabisaaaaaa.
Kuna siku akarudi ghafla nyumbani, akakuta nyumba iko valuvalu na kijana tu. Akamuuliza baba yuko wapi, akasema hajarudi tangu juzi, hela anatuma kwa Mpesa.
Basi akanipigia kisha akaanza kunitukana matusi makubwa, nikamjibu tu, kwanzia sasa sirudi tena hapo. Na kweli sijawahi kurudi tangu 2020.
Sasa akili zimekaa sawa, niko na huyu dada wa Kimakonde na watoto wake watatu, nawasomesha, nawalisha na kuwavisha, wakati sijui mwanangu anaendeleaje.
Natamani niondoke nirudi nyumbani, lakini nashindwq, mke wangu alishabadilisha namba na hataki hata kunisikia.
Najaribu nipate mwanamke mwingine niachane na huyu Mmakonde, kila ninayempata mapenzi yetu hayadumu tunaishia kuachana tu.
Naombeni msaada wenu wakuu wangu.
Matusi, kashfa na kebehi rukhsa, najua katika hayo nitaambulia msaada
So mtu anatakiwa azini na nini?Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Wangu kanifanya Pimbi, sifanikiwa mpaka wale wa shilling ngapi au vp unaelekea mbezi nikupe liftMzee pole sana! Lakini uno la kimakonde halinaga mifupa....
Sasa wewe unaonekana unapenda kuchakata sana kama mimi lakini tatizo lako ni kuwa alikukatia mauno ukamsahau wife wako....
Ushauri wangu ishi naye huyo mmakonde hivo hivo alafu mke kule nyumbani muhudumie ipasavyo maana nimegundua mke wako hana msaada katika mauno yaani ni mchagga na hajui kuyarudi mauno vilivyo, wewe usitafute mchawi, mchawi ni mauno mmakonde anajua kuyarudi.
Sasa balaa zito ni pale utapo step up na kucheki binti mwingine utakuwa umeisha maana utapata unachotafuta kwani hao watoto wa tatu shingapi na kule home gharamia wakwako afu ikiwezekana ongeza toto lingine hapo kwa mmakonde.