Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

Mtondoli

Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
70
Reaction score
174
Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.

 
Boss wangu katika ubora wake.
"Hatimae mzee wa Msata kadondokea kwenye penzi la Giggy mihela"
NB Michezo anayocheza hutaiweza kucheza,km nakuona kwnye lile lidude lake akiwa amevaa kibukta[emoji3][emoji3]
 
Boss wangu katika ubora wake.
"Hatimae mzee wa Msata kadondokea kwenye penzi la Giggy mihela"
NB Michezo anayocheza hutaiweza kucheza,km nakuona kwnye lile lidude lake akiwa amevaa kibukta[emoji3][emoji3]
Nampenda hivyo hivyo na nimechakata kwanza kabla ya kuamua
 
Tafuta picha yake ya asubuhi kabla ya kujipaka makeups ukiridhika njoo nikupe mchongo😎
 
Kweli wanaume tunahuruma adi ggy katangaziwa ndoa.

Unakumbuka hii? KUNGURU HAFUGIKI.
 
Duh.....Ama Kweli tunafanana lakini tunatofautiana,Yaani Kuna Viumbe bado Vinatafuta Malapulapu..! Genye hizi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…