mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
Ukishajua anavyovipenda na wewe ukaweza kuvifanya mtaishi tuu
Kila la heri