Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
Wanakufa haraka wanaume...Majuto, nawazo..Halaf unakuta mtu anashangaa kwanini wanaume wanakuwa haraka kuliko wanawake
Duh binafsi nampenda sana gigy sababu dada yule sio mwongo. Akigongwa anakwambia nimegongwa haijalishi utamfanya nn.Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.