Nisaidieni natural remedies ya mafua na kikohozi.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Sijui ni kwasababu ya upepo, ama nini ila kwanzia week Kama mbili zimepita nimekuwa muhanga wa mafua na kikohozi, nimetumia amoxylin na dawa za chenga za rangi sijui wanaitaje... Nika pata nafuu.. Ila hali imeweza kuji rudia tena.

Mwenye kujua natural remedies (dawa za mitishamba) ambazo zinatibu mazima anipe combination ili niweze kutumia.
 
Chk na ebola mkuu
Ukiendelea na mix ya mchachai
Limao
Tangawizi
Na ktunguusaumu kama huna vidondavyastomach
 
Una vi blend kwa pamoja? Na unatumia je?

Nipe mwongozo kiongozi
Chemsha. limao, tangawizi, magadi na kitunguu swaumu vikiwa vya vuguvugu korogea asali kunywa usiku na asubuhi. kipimo ni kwa kiasi tuu ratio ambayo unaona kila kimoja kitapata nafasi.
 
Tangawizi mbichi tafuna na asali... Ponda kitunguu swaume weka chini ya pua kwenye vitundu... Kwisha kabisa... Ukiweza kusniff(kunusa ugoro) kwa Mafua na chafya ...
Sawa ila ugoro sita jaribu.
Asante kk🙏
 
Tafuna tangawizi tu Kikohozi kitakaa mbali

Mafua katakata vitunguu maji ikifika wakati wa kulala viweke katika bakuli, weka lile bakuli upande unaogeukia ukilala hapo ukiamka tu mafua yashakimbia
 
Shukran mkuu,
 
Back
Top Bottom