Nisaidieni natural remedies ya mafua na kikohozi.

Chemsha maji uweke majani ya mpera,ndimu 6 vitunguu viwili,pilipili hoho moja,chumvi vijiko viwili,
Majani ya mpapai,maganda ya ndizi mbili na sukari vijiko 6, kisha chemsha kwa muda wa dakika 10 halafu ipua,

Acha hiyo dawa ipoe kwa muda wa dakika 10 kisha chuja ili upate yale maji tu halafu hayo maji nenda ukaya mwage nje Barabarani.
 
Sijui ni kwasababu ya upepo, ama nini ila kwanzia week Kama mbili zimepita nimekuwa muhanga wa mafua na kikohozi, nimetumia amoxylin na dawa za chenga za rangi sijui wanaitaje... Nika pata nafuu.. Ila hali imeweza kuji rudia tena.

Mwenye kujua natural remedies (dawa za mitishamba) ambazo zinatibu mazima anipe combination ili niweze kutumia.
Kama unamafua, chukua kitunguu maji (kile cha mboga). tafuna kama unatafuna tango. Baada ya masaa mawili mafua kwishaa. Ulete mrejesho.
 
Sijui ni kwasababu ya upepo, ama nini ila kwanzia week Kama mbili zimepita nimekuwa muhanga wa mafua na kikohozi, nimetumia amoxylin na dawa za chenga za rangi sijui wanaitaje... Nika pata nafuu.. Ila hali imeweza kuji rudia tena.

Mwenye kujua natural remedies (dawa za mitishamba) ambazo zinatibu mazima anipe combination ili niweze kutumia.
huanda una malaria gentleman,

cheki hiyo kitu maabara pamoja full blood picture, unaweza kua na changamoto ya ndani zaidi ambayo ni lazima uitibu hiyo kwanza ndipo hiyo mafua na kifua ipone na pole sana gentleman 🐒
 
Chemsha maji uweke majani ya mpera,ndimu 6 vitunguu viwili,pilipili hoho moja,chumvi vijiko viwili,
Majani ya mpapai,maganda ya ndizi mbili na sukari vijiko 6, kisha chemsha kwa muda wa dakika 10 halafu ipua,

Acha hiyo dawa ipoe kwa muda wa dakika 10 kisha chuja ili upate yale maji tu halafu hayo maji nenda ukaya mwage nje Barabarani.
Aisee, hakuna dawa hapo
 
huanda una malaria gentleman,

cheki hiyo kitu maabara pamoja full blood picture, unaweza kua na changamoto ya ndani zaidi ambayo ni lazima uitibu hiyo kwanza ndipo hiyo mafua na kifua ipone na pole sana gentleman 🐒
Sawa sawa, yawezekana ni homa
 
Back
Top Bottom