Limao/ndimu, , kipande cha tangawizi chemsha kwenye glass moja ya maji.Fever ya kuachwa nini🤧, matani aside nipe combination mdogo wangu
Chk na ebola mkuuSijui ni kwasababu ya upepo, ama nini ila kwanzia week Kama mbili zimepita nimekuwa muhanga wa mafua na kikohozi, nimetumia amoxylin na dawa za chenga za rangi sijui wanaitaje... Nika pata nafuu.. Ila hali imeweza kuji rudia tena.
Mwenye kujua natural remedies (dawa za mitishamba) ambazo zinatibu mazima anipe combination ili niweze kutumia.
Chemsha. limao, tangawizi, magadi na kitunguu swaumu vikiwa vya vuguvugu korogea asali kunywa usiku na asubuhi. kipimo ni kwa kiasi tuu ratio ambayo unaona kila kimoja kitapata nafasi.Una vi blend kwa pamoja? Na unatumia je?
Nipe mwongozo kiongozi