Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

Toka wachukue kadi ya mwanangu kwa ajili ya kulipa likizo ya uzazi Ni miezi 6 Sasa..Nikifuata kadi yangu wananiambia Subiri utalipwa mara Pesa yako ipo tayari Mara lete benk statement..UKWELI NSSF WABABAISHAJI SANA.
Pole sana ndugu...kwanza ukifika hapo ukianza kujieleza wanadharau wanakuona kama umechanganyikiwa unakuta mpaka wanakonyezana... Yani kama una roho nyepesi unaweza kufanya kitu ukajutia baadae.
 
Pole sana ndugu...kwanza ukifika hapo ukianza kujieleza wanadharau wanakuona kama umechanganyikiwa unakuta mpaka wanakonyezana... Yani kama una roho nyepesi unaweza kufanya kitu ukajutia baadae.
Ushamba umewajaa tu msomi kupenda tabia ya kujimwambafai ni ulimbukeni.wanabinunua midomo utadhani Wana hela ...
 
Wewe nisaidie kama una roho ya kusaidia mbona nimeeleza kila kitu...ni kitu kibaya na dhambi sadists kujificha kwenye mgongo wa utaratibu hata Mungu hapendi
Wewe mtakatifu, sina uwezo wa kukusaidia kwasababu sipo nssf ndio maana nimeuliza utaratibu ukoje? Usiwe pessimist.
 
Niwakumbushe tu Jana ndio tumebariki matumizi ya kikokotoo kipya kile kilichostopishwa kipindi kile hivyo from July mosi ni kikokotoo kipya
 
Naona wamebadisha sheria tarehe 22 May 2022.Na wamerudisha lumpsum amount
 
ni muda gani umepita tangu umalize kipindi cha 33.3% ya miezi 6?
 
Pole Sana! Ukiwashtaki Vipi hawawezi kujitafakari!

au Muungane Wawili watatu wenye Shida Zinazofanana Hlf Fungueni Mashtaka!

Mie Mwenyewe Wananikera Sana! Natafakari niwaibukie Vipi?
Unajua chochote kweli au unafikiri mahakamni huwa porojo na siasa?
 
Kwahiyo utaanza paka uipata hiyo pesa unachelewa mkuu, hiyo ihesabu kama bad debts huwanze upya, kila mtu kupitia hali kama yako kwa dizaini tofauti tu move pl z acha kuwomboleza omboleza
 
Huu ujinga upo Tanzania pekee. Wakati wa kuchangia sio hiyari, ni lazima. Lakini unapofika muda wa kuchukua pesa yako, wanatka uwabembeleze kijinga utafikiri pesa hiyo wanakupa msaada.
Tena wanakuwa na kauli chafu na dharau sana
 
Kwahiyo utaanza paka uipata hiyo pesa unachelewa mkuu, hiyo ihesabu kama bad debts huwanze upya, kila mtu kupitia hali kama yako kwa dizaini tofauti tu move pl z acha kuwomboleza omboleza
Mkuu sasa naanzia wapi kazi nimetafuta mpaka nimechoka biashara sina mtaji...kila mtu kashanifungia vioo watu hawataki mizinga
 
Ni ujinga sana, tatizo ni uoga wetu kudai haki zetu.
Huu ujinga upo Tanzania pekee. Wakati wa kuchangia sio hiyari, ni lazima. Lakini unapofika muda wa kuchukua pesa yako, wanatka uwabembeleze kijinga utafikiri pesa hiyo wanakupa msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…