figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906

Mkuu usisahau ku factor in issue zingine kwa mfano...upatikanaji wa mvua, u need to value na hilo shamba (kwa case yako umeassume jamaa tayari ana shamba lililo idle), gharama za usimamizi mpaka utakapovuna, usafiri na storage n.k n.k.

So kwa ushauri wangu, unahitaji kufanya upembuzi wa kutosha kabla hujaamua biashara gani ufanye. kwa maana hiyo Business Plan (Andiko la Mradi) kwa biashara yoyote ile ni muhimu sana.

Kuanzisha biashara si sawa na radio unayonunua dukani na ku plug and play.

Kama utahitaji kutayarishiwa Business Plan kwa gharama nafuu usisite kuwasiliana na mimi (just PM me).
\ticha, nenda kilacha hapo chuo cha mifugo kafungue cafe upige biashara ya misosi kwa wanachuo. Au kama vp nenda marangu pale t.t.c kuna wanachuo zaid ya 1000 na hawana huduma ya stationary mpaka marangu mtoni, ww nenda katege pale pale chuo.
Ila be care na mabinti wacje wakakufilisi.
Unatumia mbinu gani kuhakikisha unapata kilo 300 kwa heka? na hizo tangawizi zinatumia muda gani kati ya kupanda na kuvuna?nenda same ulime tangawizi acha na na ujinga wa kuuza maji ,pipi,unga its a risk hata wapuuz can take ,hii ndani ya mwaka umetusua
GHARAMA ZA UZALISHAJI NA MAPATO
GHARAMA YA HEKTA MOJA:
Mbegu Tshs. 240,000/-
Vibarua 250,000/-
Mbolea(mboji/samadi) 150,000/-
Jumla 640,000/-
MAPATO:
Kilo 20,000 X300 =6,000,000/-

kuna Gomboro usisahau inaua kuku bila huruma.
bora umwambie maana huyo naona hapendi maendeleo ya tcha kabisaegbert na mtanzania nyie watu mna laana mjue,so mwalimu yeye haruhusiwi kufanya biashara nyingine (kwa maisha haya yasiyo mthamini hata chembe) ye aendelee tu kupiga chafya na chaki...au akiwa na fedha zake basi kaiba michango ya wazazi au lazima azitolee maelezo ya kina...mtazamo huu ndo unafanya watu waikimbie hiyo fani

Mwalimu nakushauri ufuge kuku wa mayai, kwa kuwa utakuwa na muda wa kutosha kuwacheki asubuhi mchana na jioni.

kama ujawahi fuga kabisa nenda kwa bwn mifugo anza na kuku 200 au chini ya hapo, utahitaji.

banda, 200@3,000 600,000

vifaranga 200@2500 = 500,000

vifaa vinginenyo 120,000

jumla 1,220,000

baada ya miezi 4-5 wataanza kutaga mayai 180 kwa siku.

Mauzo ya mayai tray 180 kwa mwezi @5000 900,000

Chakula cha kuku bags13 ya kg50@33,000 525,000

Madawa na mengineyo 50,000

Faida kwa mwezi 325,000.

then faida mpaka wamalize kutaga mayai 2,600,000 miezi 8 had 12 ivi.

jaribu apo ticha, my queen does that. for any question you are welcome
wewe umesema ni mwalimu sasa utafundisha watotoz wetu saa ngapi nasema acha tabia ya kudharau ualimu kwa maana ualimu ni wito au wenyewe wanasema public service yaani ni kazi yenye thawabu mbele ya Sir God kwa hiyo mimi nakushauri hizo senti ulizonazo andaa tuition center utatoka kuliko kuwaza biashara mbali na kazi yako utakutana na wapigaji utalizwa

kuna Gomboro usisahau inaua kuku bila huruma.