Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki
...Unamjaza hofu au??? Yeye ni mtu matured akiombwa ana hiari kukubali au kukataa kila matamu yana machungu Alois!!!!Hahahahahaaaaaaaaaaa!!!!!! Angalia wanafiki wataanza kuomba rushwa ya ngono! Maana hawa jamaa hawana dogo. Kaa njonjo dear. Halafu usichoke kutafuta utapata