Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 #BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa...