Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa JF naombeni mwenye kujua iyo tofaut ya mwanasheria na wakili anijuze
Advocate,attorney,counsel zote zina maana sawNa advocate je
Barikiwa sanaAdvocate,attorney,counsel zote zina maana saw
Hazina maana sawa na ndio sababu kuna majina tofautiAdvocate,attorney,counsel zote zina maana saw
Tutofautishie mkuu, uko kwenye sheria mi sijui kwa sababu watu hawa huwa nashindwa kuwaelewa namna wanavyofanya kazi.Hazina maana sawa na ndio sababu kuna majina tofauti
Mwanasheria (Lawyer) ni mtu aliyesomea taaluma ya sheria na wakili (attorney) ni mwanasheria anayetumia taaluma hiyo kuwatetea watu kwenye mashauri mbalimbali katika mahakama ngazi yoyote ile!