Usikope pesa kwa ajili ya kuifurahisha familia yako. Tupo tuliofanya hivyo, not only that we were not appreciated but it never brought any change. Na hiyo itafanya waone kuwa una pesa nyingi na utatwisha mizigo mingi.
Rome was not built in a day or a year. It took time. Kaa na mzazi wako, zungumza naye mweleze uhalisia wa kipato chako.
Wajibu wako ni kwa wazazi, mkeo na watoto na wazazi wa mkeo ikiwa hawana wa kuwasaidia, but nawe ni kijna wao unapaswa kuwaangalia. Wengine wote ni mizigo, they will never appreciate you, ukiwandekeza utakuona kama shmba la kuvuna, na mwisho watakucheka.
Find happiness in what you earn and let them know you are strugling. usijibebeshe mizigo.
Kama ni kukopa, kopa. anzisha biashara, faida inayotokana na biashara hiyo ndiyo utamsupport mzazi na kubadilisha mazingira ya mzazi taratibu.