Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

not at all....

Labda ulipaswa kujifunza how women think kabla

hujaanza ku deal nao.....

But nikupe tips moja....usipende kuwapigia pigia simu saana..

Weka mazingira ya wao kukupigia wewe simu.....na sio wewe kutwa kupiga
Am going 32 in some coming monts now. am not married bu i have a kid.
it happened that am moving with a certain lady hapa mjini.
leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano and the phone was just busy.
napiga mara ya sita nikakuta iko off. nikaamua kumpigia room mate wake.
room mate wake akaniambia amekuja home lakini alitoka. nikakata simu.
nilivyokata cm tu. naye akapiga na kunikaripia sana kwenye cm eti kwanini napigia watu cm kumtafuta na kuniita STUPID.
jamani nimeishiwa nguvu.
Mhhhhh, TB yaani mazingira gani hayo

that is trueAm going 32 in some coming monts now. am not married bu i have a kid.
it happened that am moving with a certain lady hapa mjini.
leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano and the phone was just busy.
napiga mara ya sita nikakuta iko off. nikaamua kumpigia room mate wake.
room mate wake akaniambia amekuja home lakini alitoka. nikakata simu.
nilivyokata cm tu. naye akapiga na kunikaripia sana kwenye cm eti kwanini napigia watu cm kumtafuta na kuniita STUPID.
jamani nimeishiwa nguvu.

pole mkuu najua leo hakulaliki hapo kila simu ikiita utahisi yeye ndo anakutafuta!majibu aliokupa unatamani iwe ndoto ila ndo ukweli hapo jichenge tu mkuu!kuachwa hakuzoeleki ni kupiga tu moyo konde!

Unaweza vunjika moyo, lakini take it as it is Life goes on! Bora kajionyesha mapema kuliko ungekuja kulea watoto sio wako. Shukuruni kwa kila jambo. Mshuluru Mungu aliye kuonyesha... Halafu kula kubwa na fuata ushauri wa the Boss, kwa mtoto wa kiume you are still young, I'm nearly of the same age... for men age is just a number Broda

Na mtu akishapenda hata ashauriwe nn mnaweza kuwa mnashauri hapa kumbe yeye keshaenda kupiga misele mtaani

hapa nakushauri uangalie ustaarabu wako tu kijana maana msichana anaonekana keshashikwa masikio mahala

Ukweli lakini sitaki hata kuamini. am just starting to hate women! so painfull grrr!!!!.
khaaa?!...pole sana. Anyway, kukuita STUPID haina maana nawe ujione stupid, au sio kaka?
Maisha yanaendelea babuu, muache na hasira zake kesho atakuja 'mdogo-mdogo.'

wewe, ni hilo neno stupid tu ndo limekufanya ufikirie hivo au kuna mengine? Chunga sana hii kauli isijekutawala akilini utashindwa kutoa maamuzi ya maana. Pole sana kaka yangu ila nawe usiwe unapanic haraka kiasi hicho! Tuliza moyo na uiruhusu akili ifanye kazi.
.. eti kwanini napigia watu cm kumtafuta ........kuniita STUPID.

Ushauri wa kweli lakini mgumu sana. huu ndio ukweli, the world is just a tough place.
I don't think that's a problem. ..
Inawezekana alihamaki kama wewe ulivyohamaki na kuleta issue hadi hapa MMU.. Kumbuka yeye ni binadamu kama wewe na akili zetu huwa zin-freeze kwa muda tukihamaki....
Hold on but keep a low profile, chukua dalili za kukuacha ni 5% na sio 100% kadri muda utakavyoenda ndio utaongeza au kupunguza hizo % za kukuacha .. Zikifika 100% unaachia gari bila maumivu.
the boss,ukimpenda mtu,unapenda uwe unaongea nae mara kwa mara, inaweza ikawa ni kero fulani, ila kwa kuwa upo so in love hilo kero unakuwa hulioni[/QUOTE]
Ahsante sana Kisukari...