Nisaidieni wana jf.

Nisaidieni wana jf.

Hapo na busara zangu zote na kutopenda kuachanisha watu BUT nakushauri fikiria kumpiga chini huyo dada. Mimi mwenyewe ni mwanamke lakini nisingekubali kuolewa na mwanaume aliyenambia STUPID. Utajapata tabu kaka ukioa. Huyo mwanamke atakuwa na mdomo mchafu. Why on earth umwambie mtu mzima STUPID. Umekuwa mtoto mdogo mpaka akutusi hivyo. Pole akili kichwani. Dalili ya mvua ni mawingu. Kama mko lovers tu keshaonyesha makucha ukioa tegemea kuraruriwa tu. Kumwambia mwanaume STUPID????????? Eeh. Afu mabinti wanalalamika wanaume nguvu hawana zitatoka wapi na confidence yote tunaua kwa midomo mirefu.

Unaweza vunjika moyo, lakini take it as it is Life goes on! Bora kajionyesha mapema kuliko ungekuja kulea watoto sio wako. Shukuruni kwa kila jambo. Mshuluru Mungu aliye kuonyesha... Halafu kula kubwa na fuata ushauri wa the Boss, kwa mtoto wa kiume you are still young, I'm nearly of the same age... for men age is just a number Broda

Mhhhhh, TB yaani mazingira gani hayo
not at all....

Labda ulipaswa kujifunza how women think kabla

hujaanza ku deal nao.....

But nikupe tips moja....usipende kuwapigia pigia simu saana..

Weka mazingira ya wao kukupigia wewe simu.....na sio wewe kutwa kupiga

Na mtu akishapenda hata ashauriwe nn mnaweza kuwa mnashauri hapa kumbe yeye keshaenda kupiga misele mtaani

hapa nakushauri uangalie ustaarabu wako tu kijana maana msichana anaonekana keshashikwa masikio mahala

Am going 32 in some coming monts now. am not married bu i have a kid.
it happened that am moving with a certain lady hapa mjini.
leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano and the phone was just busy.
napiga mara ya sita nikakuta iko off. nikaamua kumpigia room mate wake.
room mate wake akaniambia amekuja home lakini alitoka. nikakata simu.
nilivyokata cm tu. naye akapiga na kunikaripia sana kwenye cm eti kwanini napigia watu cm kumtafuta na kuniita STUPID.
jamani nimeishiwa nguvu.

khaaa?!...pole sana. Anyway, kukuita STUPID haina maana nawe ujione stupid, au sio kaka?
Maisha yanaendelea babuu, muache na hasira zake kesho atakuja 'mdogo-mdogo.'

that is true

Mambo mengine mnapanic tu haraka mno! Hivi kwani mtu akikwambia stupid ndo anakuwa anamaanisha we ni stupid kweli? Je angelitamka kwa kiswahili sasa, si ndo ungezirai kabisa! Pengine nae siku ilimwendea vibaya kwa wakati huo akakereka mpaka akajikuta anaropoka tu jamani. Sidhani kama kuna mkamilifu ambae muda wote ye yuko sahihi na anajibu vizuri, mi naona ni bora usubiri kukuche uende ukaongee nae ndo utapata majibu sahihi kutokana response yake wala hakuna haja ya kuchanganyikiwa kiasi hicho! Sio kitu kidogo tu we ushapanic unakimbilia jamvini, mkuu utajipa presha bure! Embu nenda kamsikilize kwanza uone atakwambia nini.

pole mkuu najua leo hakulaliki hapo kila simu ikiita utahisi yeye ndo anakutafuta!majibu aliokupa unatamani iwe ndoto ila ndo ukweli hapo jichenge tu mkuu!kuachwa hakuzoeleki ni kupiga tu moyo konde!

Struggle to sleep but i really cant

Unaweza vunjika moyo, lakini take it as it is Life goes on! Bora kajionyesha mapema kuliko ungekuja kulea watoto sio wako. Shukuruni kwa kila jambo. Mshuluru Mungu aliye kuonyesha... Halafu kula kubwa na fuata ushauri wa the Boss, kwa mtoto wa kiume you are still young, I'm nearly of the same age... for men age is just a number Broda

Thanks broda

Na mtu akishapenda hata ashauriwe nn mnaweza kuwa mnashauri hapa kumbe yeye keshaenda kupiga misele mtaani

hapa nakushauri uangalie ustaarabu wako tu kijana maana msichana anaonekana keshashikwa masikio mahala

U have said it all. nimejaribu kulala lakini usingizi zii

Ukweli lakini sitaki hata kuamini. am just starting to hate women! so painfull grrr!!!!.

wewe, ni hilo neno stupid tu ndo limekufanya ufikirie hivo au kuna mengine? Chunga sana hii kauli isijekutawala akilini utashindwa kutoa maamuzi ya maana. Pole sana kaka yangu ila nawe usiwe unapanic haraka kiasi hicho! Tuliza moyo na uiruhusu akili ifanye kazi.

khaaa?!...pole sana. Anyway, kukuita STUPID haina maana nawe ujione stupid, au sio kaka?
Maisha yanaendelea babuu, muache na hasira zake kesho atakuja 'mdogo-mdogo.'

Mbu. The one you love you do share both your stupid and intelligent Ideas. you do all sought of things, Constructive and non-constructive. you really know each other well. you can describe your partner more than any other person, Then you End up calling her stupid!!

• Thanks
Reactions: Mbu

wewe, ni hilo neno stupid tu ndo limekufanya ufikirie hivo au kuna mengine? Chunga sana hii kauli isijekutawala akilini utashindwa kutoa maamuzi ya maana. Pole sana kaka yangu ila nawe usiwe unapanic haraka kiasi hicho! Tuliza moyo na uiruhusu akili ifanye kazi.

am more than frustrated.

.. eti kwanini napigia watu cm kumtafuta ........kuniita STUPID.

I don't think that's a problem. ..

Inawezekana alihamaki kama wewe ulivyohamaki na kuleta issue hadi hapa MMU.. Kumbuka yeye ni binadamu kama wewe na akili zetu huwa zin-freeze kwa muda tukihamaki....

Hold on but keep a low profile, chukua dalili za kukuacha ni 5% na sio 100% kadri muda utakavyoenda ndio utaongeza au kupunguza hizo % za kukuacha .. Zikifika 100% unaachia gari bila maumivu.

Huu si ushauri wa kuufuata kabisa,
Hapo bwana ulikua unamegewa tu, na wala hata haikutaji kuomba ushauri, kifupi kwa watu kama sisi wenye msimamo hapo ndio kashajipiga kibuti.
Ilikua ye ndio aombe msamaha na sio wewe.
Ila kama umekolea, umekufa na kuoza kwake utafikiri labda yeye tu ndio ''anayo'' pekeyake basi mfuate umuombe msamaha.

the boss,ukimpenda mtu,unapenda uwe unaongea nae mara kwa mara, inaweza ikawa ni kero fulani, ila kwa kuwa upo so in love hilo kero unakuwa hulioni[/QUOTE]

Ahsante sana Kisukari...

you have got to love JF no matter what. am kinda feeling much relief, having taken These advice. Thanks my dear pals.

Back
Top Bottom