Nisaidieni wazazi wangu hawataki nimwoe mmachame

Nisaidieni wazazi wangu hawataki nimwoe mmachame

Achana nao wewe si ndo unamtomba hivyo unajua utamu wake!
 
mi ni mmachame wa mkwarungo ninawapa ukweli,hili jambo lipo lakini ni la kimtazamo tu! Ila hawa dada zangu wanapoolewa na mtu ambaye si mmachema kwa kuwa wameathirika na mtazamo wa kimachame unaoaminika kuwa wachaga ndyo watu bora zaidi kiasi kwamba mwanaume ukioa mtu mathalani msukuma unaonekana umeoa mtu ambaye hajakamilika kwani amaonekana kama watu duni na kuna msemakabisa wanaita watu wa kasa yaani watu wa porini sasa mtazamo huo mabinti huishi maisha ya kujilisha jambo linalofanya asijisahau na achukuwe nafasi ya mwanaume hivyo ukioa mchaga tegemea kutawalwa ila maendeleo pia ni ya hakika si kama wengine,so kaka wewe ndy unayeoa go for that ukijua unatakiwa kumcontrol

Hapo kwenye red: Naona wazazi watakuwa wanatumia mtazamo huo huo ambao wamachame wako nao dhidi ya makabila (wasukuma) mengine, kwa hiyo mimi naona ngoma drawa.

Back to the topic: Ni juu yako mwenyewe kuamua kuona kipi kinafaa.
 
Mm na dada yangu ni mmachame ameshauwa mme wake wa kwanza sasa tunasubiri huyu msukuma aliyempata tuzike lini ,mwanamke wa kimachame lazima akuue tu tunazaa mabinti ambao ni mafigheter!
 
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?

mimi ni mmachame,dada zetu ni watu ambao wapo very smart katika maisha,wana speed nzuri ya kutafuta fedha,hawalali mpaka maisha yao yawe sawa,sasa inategemea wewe ni kabila gani na speed yako kwenye kutafuta maisha ikoje
 
Mm na dada yangu ni mmachame ameshauwa mme wake wa kwanza sasa tunasubiri huyu msukuma aliyempata tuzike lini ,mwanamke wa kimachame lazima akuue tu tunazaa mabinti ambao ni mafigheter!

ungeandika hivi.sisi ni wamachame dada yako ameshauwa mme wake wa kwanza.mi nafikiri ungefanya haraka kumshauri ampoteze na huyo msukuma kwa sababu wewe unasubri kuzika so nawewe utakuwa ni muuwaji kwa maelezo yako na unaishi na wauwaji.vipi kama wewe ni mmachame MAMA yako alimuuwa BABA yako au? Pole sana mkuu!
 
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?[/QUOTE]huna kitu unapiga makeleeele? kuwa kwanza na izo mali tuone, ndo uje huulize maana unaeza wala usipate chochote pia hata ukawa kilema kesho sijui ilo wameliangalia stupid...?
 
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?
1.Tafuta ndugu zake kama kuna wajane chunguza source ya vifo vya waume zao
2. Wazaz wake ni wawili BABA NA MAMA kama mama yake ni mjane peleleza baba yake alikufa kifo gani .kuwa makini usikurupuke fanya uchunguz .au nenda machame check number ya watoto yatima na wajane waliopo.
 
Back
Top Bottom