First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Wamachame siku hizi ni wazuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi ni mmachame wa mkwarungo ninawapa ukweli,hili jambo lipo lakini ni la kimtazamo tu! Ila hawa dada zangu wanapoolewa na mtu ambaye si mmachema kwa kuwa wameathirika na mtazamo wa kimachame unaoaminika kuwa wachaga ndyo watu bora zaidi kiasi kwamba mwanaume ukioa mtu mathalani msukuma unaonekana umeoa mtu ambaye hajakamilika kwani amaonekana kama watu duni na kuna msemakabisa wanaita watu wa kasa yaani watu wa porini sasa mtazamo huo mabinti huishi maisha ya kujilisha jambo linalofanya asijisahau na achukuwe nafasi ya mwanaume hivyo ukioa mchaga tegemea kutawalwa ila maendeleo pia ni ya hakika si kama wengine,so kaka wewe ndy unayeoa go for that ukijua unatakiwa kumcontrol
Achana nao wewe si ndo unamtomba hivyo unajua utamu wake!
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?
Mm na dada yangu ni mmachame ameshauwa mme wake wa kwanza sasa tunasubiri huyu msukuma aliyempata tuzike lini ,mwanamke wa kimachame lazima akuue tu tunazaa mabinti ambao ni mafigheter!
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?[/QUOTE]huna kitu unapiga makeleeele? kuwa kwanza na izo mali tuone, ndo uje huulize maana unaeza wala usipate chochote pia hata ukawa kilema kesho sijui ilo wameliangalia stupid...?
1.Tafuta ndugu zake kama kuna wajane chunguza source ya vifo vya waume zaoNdugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana