Nisaidieni wazo, nimepata changamoto kwenye mfumo wa ajira

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Habarin wana JF,

Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match.

Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta wanashndwa leta particulars zangu?
 
Nenda nida uwaombe waondoe hiyo herufi iliyoongezeka ili majina yafanane na vyeti vingine it's possible mkuu fuatilia.
 
Habarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
Sio john tu, angalia majina yote matatu kwenye NIDA kama yana match na yaliyo kwenye vyeti.
 
Nimeona ulikuwa na Tatizo la NIDA kukosea jina lako je ulifanikisha kuingiza namba ya mtihani ukafaniki maana na Mimi Nina tatizo hilo
Nlifanikiwa nikaingiza namba za mtiahan zikakubali. Vipi wewe bado form 4 no inagoma tuu
 
Habarin wana JF,

Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match.

Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta wanashndwa leta particulars zangu?
Andika namba katika mfumo huu
S1234-0012
 
Nenda nida uwaombe waondoe hiyo herufi iliyoongezeka ili majina yafanane na vyeti vingine it's possible mkuu fuatilia.
mkubwa hilo zoezi ni dogo sana ila kwa NIDA linaweza chukua mpaka miaka 3,hii nchi ngumu sana
 
Hata mimi na shida inayoendana na wewe .
NIDA natambulika 'MACMILLIAN"
Academic certificates zote ni 'MACMILIAN"
Nilipo ona hivyo nilijisajili mara ya pili kama MACMILIAN ili kuendana na vyeti vya shule, na nilifanikiwa process zote hadi picha . but siku ya kwenda kuchukua No ya NIDA nkaonekana nimejisajili mara mbili na nikapewa no ile ile yenye makosa.
Nasubili niwafwate tena nipate kujua kama no yangu ya usajili wa pili ina exist au hakuna...!!
 
mimi ndio nipo kwenye process kubadilisha NIDA
 
Back
Top Bottom