Asilimia kubwa ya waombaji Nida wamebadilisha jina, ata Mimi wamenibadilishia, afu sio Nida Ni system ya TamisemiKama majina ya nida n tofauti na Vyeti bc jiandae kuilaumu serikali
Sio john tu, angalia majina yote matatu kwenye NIDA kama yana match na yaliyo kwenye vyeti.Habarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
Daaa me ishu yangu kama iyo Kwenye NIDA Kuna FREDI kwenye cheti FRED .Sio john tu, angalia majina yote matatu kwenye NIDA kama yana match na yaliyo kwenye vyeti.
Nimeona ulikuwa na Tatizo la NIDA kukosea jina lako je ulifanikisha kuingiza namba ya mtihani ukafaniki maana na Mimi Nina tatizo hiloWe umefanikisha ku apply au umegomewa
Tilia mzeeNlifanikiwa nikaingiza namba za mtiahan zikakubali. Vipi wewe bado form 4 no inagoma tuu
Nimefanikiw kuapplyWe umefanikisha ku apply au umegomewa
Andika namba katika mfumo huuHabarin wana JF,
Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match.
Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta wanashndwa leta particulars zangu?
Upqnde wa masomo umesha chagua tayari.Nimefanikiw kuapply
mkubwa hilo zoezi ni dogo sana ila kwa NIDA linaweza chukua mpaka miaka 3,hii nchi ngumu sanaNenda nida uwaombe waondoe hiyo herufi iliyoongezeka ili majina yafanane na vyeti vingine it's possible mkuu fuatilia.
mimi ndio nipo kwenye process kubadilisha NIDAHata mimi na shida inayoendana na wewe .
NIDA natambulika 'MACMILLIAN"
Academic certificates zote ni 'MACMILIAN"
Nilipo ona hivyo nilijisajili mara ya pili kama MACMILIAN ili kuendana na vyeti vya shule, na nilifanikiwa process zote hadi picha . but siku ya kwenda kuchukua No ya NIDA nkaonekana nimejisajili mara mbili na nikapewa no ile ile yenye makosa.
Nasubili niwafwate tena nipate kujua kama no yangu ya usajili wa pili ina exist au hakuna...!!
Umechajiwa bei gani kwa kila process?mimi ndio nipo kwenye process kubadilisha NIDA