Tafuta kanisa la kiroho la karibu nenda omba kuonana na mchungaji au wazee wa kanisa, waeleze watakusaidia.Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae sasa sijui nna nini.....
Nisaidieni waungwana........maneno ruksa macho yangu tuu nibakishieni......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mm ni muislamuTafuta kanisa la kiroho la karibu nenda omba kuonana na mchungaji au wazee wa kanisa, waeleze watakusaidia.
Ikishindikana chukua biblia soma, vitabu vya injili MATHAYO, MARKO, LUKA, YOHANA.
Usijali, neno la Mungu ndani ya biblia halisemi kuhusu dini ya mtu,
Hio bibilia hata kuigusa sijawahiUsijali, neno la Mungu ndani ya biblia halisemi kuhusu dini ya mtu,
Yeyote mwenye matatizo anaweza kusaidiwa....hiyo hali ni kawaida kwa mwanadamu ila ni mbaya sana asipo ishughulikia mapema,
Maneno ya faraja ni kwa kila mtu,
Sitaki kuamini kama uko radhi uendelee kuteseka na hiyo hali kwasababu tu wewe ni muislam.!!!!
Mbona maumivu yako yasibakie ndani yakawa siri yako...kumbe huna shida ya kusaidiwa
Hilo ni kawaida, kila mtu amewai kufanya kitu kwa mara ya kwanza, anza leo kuigusa.
Hatukai pamojaBf anakula mzigo vzr,anakutoa out,mnaishi pamoja?!
Ndoa mzigo siweziPole sana sina single maza!
Unamtoto halafu una bf hapo ndipo mawazo yako yanapoanzia, jaribu kufocus katika mambo yako huyo bf wako anakupa mawazo kwanini asikuoe tu
Jinsia yangu haikuzuii kunisaidiaMbona maumivu yako yasibakie ndani yakawa siri yako...kumbe huna shida ya kusaidiwa
Sent using Jamii Forums mobile app