Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Kwahiyo tupambane huku huku mkuu
Halotel kifurush cha buku wamepunguza MB wanatoa mb600 badala ya gb1Ndiyo maana yake. Hali ni mbaya sana kwa sasa.
Tigo & Airtel usiguse pamoto sana huko. Laini zao nimeziweka kabatini toka mwaka 2020.
- 1000 halotel wanakupa 10dk na 1GB siku 7
- 1500 Vodacom wanakupa dk 100, sms 40 na 800mb siku 7.
Sasa hivi natumia Vodacom na Halotel (kwa freebasics na sms itakufaa sana Halotel). Kifurushi cha bei kubwa kwa mwezi Halotel ni 1000 tu.
Kidogo halotel wananivutia kwa buku Gb 1 sio mchezo mkuuNdiyo maana yake. Hali ni mbaya sana kwa sasa.
Tigo & Airtel usiguse pamoto sana huko. Laini zao nimeziweka kabatini toka mwaka 2020.
- 1000 halotel wanakupa 10dk na 1GB siku 7
- 1500 Vodacom wanakupa dk 100, sms 40 na 800mb siku 7.
Sasa hivi natumia Vodacom na Halotel (kwa freebasics na sms itakufaa sana Halotel). Kifurushi cha bei kubwa kwa mwezi Halotel ni 1000 tu.
Halotel kifurush cha buku wamepunguza MB wanatoa mb600 badala ya gb1
SafaricomHabari wakuu,
Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL.
Nawasilisha.
Hiyo ilikuwa kabla Ndugulile hajafukuzwa.
kama mm tangu hawa jamaa waanze huduma zao zijawahama wala sina hilo wazoniko nataka kuongeza halotel ya 3
mimi ni halo , halo na mimi
#watz tusisahau malipo ya serikali hii ni 2025
Mkuu naona umekuja kueleza hisia zako kuhusu mitandao ..afu unataka tuanze kujadiliTigo sijui kwanini huwa siipendi kabisa