Nisameheni wanaJF kama nimewakosea

Nisameheni wanaJF kama nimewakosea

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Namaliza mwaka 2017 naingia mwaka 2018 jamani kama kuna mtu nimewahi kumkosea humu anisamehe.

Naona itakuwa vibaya kuuanza mwaka 2018 nikiwa na vinyongo na gubu moyoni hivyo naombeni mnisamehe.

Walonitukana nimewasamehe kiroho safi nami mnisamehe jamani wakuu.

Pia naomba msamaha wa JF nilikuwa na ID yangu ya rayyoungr nimeahidi kujirekebisha.

Naombeni mnirejeshee ID yangu ya [HASHTAG]#Rayyoungr[/HASHTAG] hii nilonayo nashindwa kuenjoy ya mwanzo ndo ilikua inapendeza zaidi.

Today is my birthday nilizaliwa tarehe 1 January
Tuuanze mwaka 2018 tukiwa na raha maadui zangu nimewasamehe tangu leo tugange yajayo.

Asanteni

By Ray shombeshombe
 
Happy birthday in advance, happy New year 2018!
 
Kuna Wenzio Wengi Wana Id Mbili Mbili Nahc Nao Sahv Wana Type Msg Kama Yako,, Viva 2018 And Happy Birth Day
 
Uache kwanza Yale mambo yako..lakini wa kuombwa msamaha ni Mungu pekee..binadamu ni kutimiza taratibu za kibinadamu tu..be gentleman though.
 
Good! Hakuna anayekuja Duniani akiwa anajua kila kitu. Na pia kama umeamua kuwa na mwenendo mwema kwa kujifunza toka kwa wengine, hilo ni jambo zuri... Happy 2018!
 
Kwaniaba ya wote ulio wakosea niseme wamekusamehe kama tu umeomba msamaha kwa dhati bila kushulutishwa wamekusamehe
 
Kwaniaba ya wote ulio wakosea niseme wamekusamehe kama tu umeomba msamaha kwa dhati bila kushulutishwa wamekusamehe
Mkuu mbona hatujakubaliana kama tumemsamehe wote.


In advance happy new year 2019
 
Back
Top Bottom