Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Namaliza mwaka 2017 naingia mwaka 2018 jamani kama kuna mtu nimewahi kumkosea humu anisamehe.
Naona itakuwa vibaya kuuanza mwaka 2018 nikiwa na vinyongo na gubu moyoni hivyo naombeni mnisamehe.
Walonitukana nimewasamehe kiroho safi nami mnisamehe jamani wakuu.
Pia naomba msamaha wa JF nilikuwa na ID yangu ya rayyoungr nimeahidi kujirekebisha.
Naombeni mnirejeshee ID yangu ya [HASHTAG]#Rayyoungr[/HASHTAG] hii nilonayo nashindwa kuenjoy ya mwanzo ndo ilikua inapendeza zaidi.
Today is my birthday nilizaliwa tarehe 1 January
Tuuanze mwaka 2018 tukiwa na raha maadui zangu nimewasamehe tangu leo tugange yajayo.
Asanteni
By Ray shombeshombe