Niseme nini, siwezi kueleza. Stori yangu na betPawa

Niseme nini, siwezi kueleza. Stori yangu na betPawa

Haya jamani tangazo la kujiunga kwenye group lake kupata odds hilo hapo kiingilio buku tano😁😁😁😁

Ila kama sio tangazo basi HONGERA ..... HIYO HELA NUSU NUNUA KIWANJA .... eneo la maana kama goba ..... maana hela kama hiyo kupotea ni dakika mbili na nyingi utairudisha huko huko betting .. nyingine fanyia biashara
.narudia tena NUNUA kiwanja hata useme nilishinda nikanunua kitu cha maana ... umeshindwa kabisa nunua hata bajaj .. yaani nunua asset yeyote
 
Unachokifanya ndo kinachokufanya usifanikiwe

Ubunifu zero.

Hizi bukubuku za wanyonge kuwa uwasukie mikeka haziwezi kukufanya kufanikiwa.

Vijana mnabidi mbadilike honest is key of life.
We have got to be honest by the tools we use to survive too!!
Kijana betting imemtoa mwache atambe nayo!! Wasiwasi wangu ni kuwa inaweza isiwe route sahihi kwa kila mtu, wengi wamefilisika kwa kamali.
 
Haya jamani tangazo la kujiunga kwenye group lake kupata odds hilo hapo kiingilio buku tano😁😁😁😁

Ila kama sio tangazo basi HONGERA ..... HIYO HELA NUSU NUNUA KIWANJA .... eneo la maana kama goba ..... maana hela kama hiyo kupotea ni dakika mbili na nyingi utairudisha huko huko betting .. nyingine fanyia biashara
.narudia tena NUNUA kiwanja hata useme nilishinda nikanunua kitu cha maana ... umeshindwa kabisa nunua hata bajaj .. yaani nunua asset yeyote
Nashukuru kwa ushauri
 
Lipia tangazo betPawa acha janja janja za nyani
Screenshot_20240418-021103_Chrome.jpg
 
We have got to be honest by the tools we use to survive too!!
Kijana betting imemtoa mwache atambe nayo!! Wasiwasi wangu ni kuwa inaweza isiwe route sahihi kwa kila mtu, wengi wamefilisika kwa kamali.

Tatizo haujaelewa , sahivi watu wan a post mikeka huu uzi upo Facebook ,Instagram n.k ili kuwashawishi then at the end watu wanampa hela awatengenezee mikeka.

That is way nimetoa alert
 
Mimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10.

Ushindi wangu uliongezeka kwa 140% kwa Bonasi ya Ushindi ya betPawa na malipo yangu ya mwisho baada ya kodi yalikuwa TSh54,902,663.41. Hii ni hadithi yangu…

Nilianza kutumia betPawa mwaka 2019 na nilishinikizwa na rafiki yangu. Nilifanya bashiri yangu kwenye mechi 26 (moja ilihairishwa). Kwenye kubeti kwangu nilizingatia timu KUBWA ambazo zinapigania nafasi za juu kwenye msimamo wa mashindano.

Nilipopata habari kwamba nimeshinda, nilikuwa na furaha sana na mtu wa kwanza niliyemwambia alikuwa mke wangu. Pesa nilizoshinda zitanisaidia sana na zitaniwezesha kuendeleza biashara zangu na kuzifanya ziwe KUBWA zaidi.

Nafurahishwa na Bonasi ya Ushindi ya 1000% na mfumo mzima wa kubeti wa betPawa kwa sababu ni mrahisi kutumia. Ningependa kuwaambia wale ambao bado hawajaanza kutumia betPawa waje kujaribu bahati zao huku maskani ya washindi ambapo inalipa papo hapo.

Binafsi, huu ndio ushindi WANGU MKUBWA ZAIDI. Nitawashauri watu wengine wasikate tamaa ila wazingatie kubeti kwa uwajibikaji.

View attachment 2969183

View attachment 2969200

Bado tu ujaeleza
 
Back
Top Bottom