MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
1900 jamaa katusua noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subutuuu, Mimi nashindwa! Sina history hio. Subiriacha kutafta sababu ushashindwa
fanya kwel basSubutuuu, Mimi nashindwa! Sina history hio. Subiri
Tulia, tulia, namalizia nyagi Yangu, fungua PMfanya kwel bas
We're openTulia, tulia, namalizia nyagi Yangu, fungua PM
Inanigomea, au sina bando?We're open
hujalipa tozoInanigomea, au sina bando?
Kikokotooohujalipa tozo
io cm yako tumiaKikokotooo
Mkeka umesahihishwa mwezi wa 3/17 ila yeye leo ndo anatujulisha,jiulize mwezi mzima alikuwa wapi??Unachokifanya ndo kinachokufanya usifanikiwe
Ubunifu zero.
Hizi bukubuku za wanyonge kuwa uwasukie mikeka haziwezi kukufanya kufanikiwa.
Vijana mnabidi mbadilike honest is key of life.
Mtu aliekula ml 54 hawezi kuandika gazeti hiliMimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10.
Ushindi wangu uliongezeka kwa 140% kwa Bonasi ya Ushindi ya betPawa na malipo yangu ya mwisho baada ya kodi yalikuwa TSh54,902,663.41. Hii ni hadithi yangu…
Nilianza kutumia betPawa mwaka 2019 na nilishinikizwa na rafiki yangu. Nilifanya bashiri yangu kwenye mechi 26 (moja ilihairishwa). Kwenye kubeti kwangu nilizingatia timu KUBWA ambazo zinapigania nafasi za juu kwenye msimamo wa mashindano.
Nilipopata habari kwamba nimeshinda, nilikuwa na furaha sana na mtu wa kwanza niliyemwambia alikuwa mke wangu. Pesa nilizoshinda zitanisaidia sana na zitaniwezesha kuendeleza biashara zangu na kuzifanya ziwe KUBWA zaidi.
Nafurahishwa na Bonasi ya Ushindi ya 1000% na mfumo mzima wa kubeti wa betPawa kwa sababu ni mrahisi kutumia. Ningependa kuwaambia wale ambao bado hawajaanza kutumia betPawa waje kujaribu bahati zao huku maskani ya washindi ambapo inalipa papo hapo.
Binafsi, huu ndio ushindi WANGU MKUBWA ZAIDI. Nitawashauri watu wengine wasikate tamaa ila wazingatie kubeti kwa uwajibikaji.
View attachment 2969183
View attachment 2969200
Mtu aliekula ml 54 hawezi kuandika gazeti hili
Kibaya zaidi upo benet na comments za watu. Tafuta hela
Hongera sana